Kikosi cha Simba Kifumuliwe

Naunga mkono hoja, halafu nini kinamshinda Kotei kuwa accurate kwenye passing

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini pia mabadiliko aliofanya kocha kipindi cha pili yalitugharimu zaidi..angemuacha juuko murshidi angemtoa mkude. Maana alieingia badala ya juuko ni chama...
 
Nadhani faraja zisizo na tija hazijengi.Kuna jambo ambalo watu hawasemi ukweli , Simba imefungwa magoli rahisi kuliko timu nyingi. Ndiyo, Simba imefika robo fainali LAKINI katika match dhidi ya Mazembe iwapo Simba ingekuwa na kocha kama yule wa Sundon au yule mfaransa aliyeondoka mwaka jana Simba ingeweza shinda match au kufungwa kwa Small margin.Kocha ameshindwa kutengeneza water tight defence hebu angalia Simba away record kuanzia group stage ya kufungwa 16 : 1, hiyo sio sawa.Siandiki kama mnazi wa Yanga au Simba lakini kama mtanzania anayeipenda nchi yake.Najaribu kuota match Simba vs Al Masiri kule Misiri (Last year) ambapo matokeo yalikuwa 0:0 pia .najaribu kuota match ya Yanga Vs Timu ya Zimbabwe sometime back iliyochezwa Harare matokeo : 2 for Yanga na mwisho Match Uganda crane Vs Taifa star kule Uganda matokeo 0 :0. Hizi match tatu hapo juu zinaonyesha pakiwapo na mipango Timu za Tanzania zinaweza kushinda away au kushindwa kwa magoli machache.Samahani kwa kuandika Gazeti LAKINI naomba MO alisome.Kabla ya ku comment maoni yangu soma kila neno kwa makini.Ahsante
 
Hii hatua ya kuingia 1/2 final ilikuwa kiboko kweli kweli
Tp Mapzembe kashinda 4-1
M. Soundowns kashinda 5-1
Esparance kashinda 4-0
Casablanka kashinda 6-3
Labda kama Kungekuwa na best looser Simba wangeambulia kitu. Siku nyingine wajifunze kutofungwa magoli mengi. Defence nzuri inakupa kombe na fawadi nzuri inakupa ushindi.
 
Naona kama ww Ndio unaakili fupi..hayo ni maoni yangu si lazima uyakuba Asante kwa maoni mazuri.
 
Tatizo sio Kocha mkuu, tatizo ni backline yetu wachezaji wengi ukimtoa Nyoni na Tshabalala hawako poa. Kubwa kuliko yote kuna maeneo kama Beki namba 5 na 2 lazima wapatikane watu, Kiungo mkabaji mzuri pale kati na Mshambuliaji walau mmoja haraka simba inahitaji wachezaj angalau wanne.
Pia kuna wachangiaji wanasema yule dogo Rashid Juma aachwe, C'mon! acheni utani yule dogo ni very Future Promising ASIACHWE.
Kufanya mabadiliko ya kikosi karibia kizima sio jambo dogo, mengine naunga hoja pia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiungo Ndio mchezesha timu..sasa kama atakuwa anapoteza mpira kwa kuipiga hovyo..timu lazima ikatike na washambuliaji watakosa mipira.
Hoja ya mleta mada ni kwamba viungo wa sasa wanakaa na mpira muda mfupi, sio hiyo unayosema ya kupoteza mipira. Msome hapa:
Kwa mfano kotei na mkude ni viungo lakini hawana uwezo wa kukaa na mpira na kupandisha timu.. Kotei akikaba na kumiliki kinachofuata ni kuanua mbele..pia mkude.
 
Kwa hivyo msimu ujao Uongozi wa Simba TFF uruhusu wachezaji wangapi wa kigeni badala ya kumi mliojipangia msimu huu?
 
Kati ya wachezaji wasiotumia akili nia Gadiel, huyu hata mkongoman anamjua hopeless kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia wana Visimi virefu utafikiri timu yao ni ESPERANCE
Ndiyo maana wakati mwingine huwa nadhani huu usimba na uyanga unaturudisha nyuma sana kisoka mdau ameleta mada nzuri lakini anakuja mwanayanga anakejeli the same kwa mwanayanga anaweza leta mada nzuri kuhusu timu yao lakini mwanasimba anakejeli.
Sijui kama tutafika kisoka kwa kweli kwa kuombeana mabaya hivi
 
kuna yanga wanajifanya wanasimba na kutoa maoni lakini mwanasimba wa ukweli akisoma maoni yao anajua tu hawa yanga
 
Yaaani huyo jamaa mpuuzi sana huyo coulbaly msemgerema sana aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msipende kutegemea wachezaji wa kununua. Wekezeni kwenye uwanja na academy ya maana. Wapo watoto wa Tanzania ambao wakiwezeshwa kwa program ya miaka 10 watafanya maajabu.

Tusitegemee kutengenezewa wachezaji na nchi nyingine, mtaishia kupata makapi tu.

Taifa Stars iliyoingia fainali za AFCON kwa mara ya kwanza, ambazo ndiyo fainali za kweli, ni zao la academy ya Young Africans chini ya kocha Victor. Na ilichukua muda kuwa na wachezaji wa caliber ile.

Tungeendeleza na kujikita kwenye academy, tuache pupa tuwe na tabia endelezi. Hata kocha Zahera msimpe hela za kununua wachezaji, angejikita kwenye academy ya Watoto. Tujenge shule ya football ya maana. Mngemsikiliza JK.
 
Ndio maisha ya mpira yalivyo ..nikusajiri na kuacha pale unapoona malengo hayajatimia..sio simba tu hata huko kwa wenzetu walio tutangulia kimpira.
Mleta mada tu hajui , kikosi kilishafumuliwa Mara nne hapo kilipo hakina rinda hata moja sasa kifumuliwe nini tena? Hahahaaa!

-
 
Wewe bakuli fc mambo ya simba yanakuwasha nini...mukiona thread ya mume wenu simba lazima muishobokee
Mume gani asiye na rinda hata moja? Kila mtu amejiiingizia atakavyo! Kazi yenu nikukata mauno tu

-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…