Nadhani faraja zisizo na tija hazijengi.Kuna jambo ambalo watu hawasemi ukweli , Simba imefungwa magoli rahisi kuliko timu nyingi. Ndiyo, Simba imefika robo fainali LAKINI katika match dhidi ya Mazembe iwapo Simba ingekuwa na kocha kama yule wa Sundon au yule mfaransa aliyeondoka mwaka jana Simba ingeweza shinda match au kufungwa kwa Small margin.Kocha ameshindwa kutengeneza water tight defence hebu angalia Simba away record kuanzia group stage ya kufungwa 16 : 1, hiyo sio sawa.Siandiki kama mnazi wa Yanga au Simba lakini kama mtanzania anayeipenda nchi yake.Najaribu kuota match Simba vs Al Masiri kule Misiri (Last year) ambapo matokeo yalikuwa 0:0 pia .najaribu kuota match ya Yanga Vs Timu ya Zimbabwe sometime back iliyochezwa Harare matokeo : 2 for Yanga na mwisho Match Uganda crane Vs Taifa star kule Uganda matokeo 0 :0. Hizi match tatu hapo juu zinaonyesha pakiwapo na mipango Timu za Tanzania zinaweza kushinda away au kushindwa kwa magoli machache.Samahani kwa kuandika Gazeti LAKINI naomba MO alisome.Kabla ya ku comment maoni yangu soma kila neno kwa makini.Ahsante