senior man
Member
- Jan 16, 2018
- 54
- 45
Utatoa wewe hela za usajili au unalopoka tuMwakani tutakuwa na kikosi cha kushinda kimataifa..
-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utatoa wewe hela za usajili au unalopoka tuMwakani tutakuwa na kikosi cha kushinda kimataifa..
Labda kwa sababu bei yao inaweza kuwa ndogo lakini kama pesa ya kutosha ipo Jackson Muleka wa TP Mazembe na yule mchezaji wa ZESCO wangetufaa zaidi. Nina wasiwasi na umri wa Tuyisenge unaweza ukawa wa msimu mmoja au mawili na mpira wake ukapotea.Mbele tuongeze Chisala wa NKANA na Tuyisenge wa GOR MAHIA.
Yanga inaendeshwa na wanachama wote. Simba mnategemea mfuko wa Mo Dewji peke yake. Note the difference.Siyo ya yanga? Mi nlidhani ya ombaomba fc
Sikujua hiki kitu. Naona kocha hapa alikuwa na plan ya kufungwa goli nyingi zaidi.Lakini pia mabadiliko aliofanya kocha kipindi cha pili yalitugharimu zaidi..angemuacha juuko murshidi angemtoa mkude. Maana alieingia badala ya juuko ni chama...
Umeandika ukweli sana mkuu.Nadhani faraja zisizo na tija hazijengi.Kuna jambo ambalo watu hawasemi ukweli , Simba imefungwa magoli rahisi kuliko timu nyingi. Ndiyo, Simba imefika robo fainali LAKINI katika match dhidi ya Mazembe iwapo Simba ingekuwa na kocha kama yule wa Sundon au yule mfaransa aliyeondoka mwaka jana Simba ingeweza shinda match au kufungwa kwa Small margin.Kocha ameshindwa kutengeneza water tight defence hebu angalia Simba away record kuanzia group stage ya kufungwa 16 : 1, hiyo sio sawa.Siandiki kama mnazi wa Yanga au Simba lakini kama mtanzania anayeipenda nchi yake.Najaribu kuota match Simba vs Al Masiri kule Misiri (Last year) ambapo matokeo yalikuwa 0:0 pia .najaribu kuota match ya Yanga Vs Timu ya Zimbabwe sometime back iliyochezwa Harare matokeo : 2 for Yanga na mwisho Match Uganda crane Vs Taifa star kule Uganda matokeo 0 :0. Hizi match tatu hapo juu zinaonyesha pakiwapo na mipango Timu za Tanzania zinaweza kushinda away au kushindwa kwa magoli machache.Samahani kwa kuandika Gazeti LAKINI naomba MO alisome.Kabla ya ku comment maoni yangu soma kila neno kwa makini.Ahsante
Yanga hakuwemo.. unataka matokeo ya ligi au FA?aah,aise kumbe,naomba matokeo ya jana.
Sent from Nokia 7 Plus
Yanga inaendeshwa na wanachama wote. Simba mnategemea mfuko wa Mo Dewji peke yake. Note the difference.
Hatoi kama hisani. Ni madeni lazima arudishiwe.
aah,aise,ngap ngap huko Lubumbashi!Yanga hakuwemo.. unataka matokeo ya ligi au FA?
Mfumo wa Yanga so far ni members kujitolea. Nasema so far.Kwani yanga wameshamlipa Manji Madeni yake ya kukodi au alipokuwa anaipatia team pesa?
Hapa ni kutumia akili ndogo....hizo pesa alishasema zitatumika kusajili wachezaji bora zaidi ili kuifanya team iweze pambana kimatifa. Mo ni mfanya biashara mwenye akili anafaham hawez rudisha pesa zote kwa msimu mmoja tu.lakini kumbuka Mo ana Hisa Asilimia 49. Hajakodishwa team kuna wanachama wana hisa asilimia 51. Kinachopatikana kinagawanywa
Mfumo wa Yanga so far ni members kujitolea. Nasema so far.
Mfumo wa Simba ni kampuni. Hela inatoka kampuni nyingine za Mo. Ni deni hilo.
Huitaji elimu ya chekechea kujua hilo.
Sijui ni nani hamwelewi mwingine?Sijui kama wakati unasoma ulielewa nlichoandika... Yanga hapa ndo huwa mnanishangaza sana
Mbadala wa mkude mm nawapa juma nyange wa allianceNakubaliana na ww kutokukubaliana, naomba nisaidie kitu ili utoe solution ya tatizo baada ya hao unaotaka waachwe je ni mchezaji gani wa ndani au nje ya mipaka yetu ungependa asajiliwe??
Japo mm naomba wafuatao waachwe kabisa Gyan, kwasi, mo Ibrahim, Ndemla, mzamiru, Salamba, Okwi ,Wawa.
Halafu atafutwe mbadala wa mkude, mbadadala wa okwi,
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hizo hisa za wanachama asilimia 51 zilikuwa zinauzwa sh ngapi kwa hisa moja? na zimeuzwa lini?Kwani yanga wameshamlipa Manji Madeni yake ya kukodi au alipokuwa anaipatia team pesa?
Hapa ni kutumia akili ndogo....hizo pesa alishasema zitatumika kusajili wachezaji bora zaidi ili kuifanya team iweze pambana kimatifa. Mo ni mfanya biashara mwenye akili anafaham hawez rudisha pesa zote kwa msimu mmoja tu.lakini kumbuka Mo ana Hisa Asilimia 49. Hajakodishwa team kuna wanachama wana hisa asilimia 51. Kinachopatikana kinagawanywa
Kwa Manula umekosea sana, huyu ni kipa mbovu sana na stars walimtumia afcon tutafungwa sana
Asante Mkuu, umekuja na mfano sahihi sana.Mkuu umeongea point Sana,kwa mfano Mamelod yule tajiri wao aliinunua mwaka 2004 lakini ilikuja kuchukua ubingwa wa Afrika mwaka 2016,na huyu coach wao wapo nae tangu mwaka 2012,kinachotakiwa ni uvumilivu tu kwa mashabiki na uongozi pia,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamasihara sana !HAWA NI WACHEZAJI WANAOTAKIWA KUTEMWA MSIMU UJAO
1. Dida
2. Gyan
3. Kwasi
4. Mlipili
5. Bukaba
6.Juuko
7. Ndemla
8. Salamba
9. Okwi
10. Wawa
WATAFUTWE "AFRICAN CLASS PLAYER"
1. Beki wa kati
2. Mshambuliaji hatari
3. Kiungo Mkabaji
4. Kiungo mshambuliaji (zaidi ya Chama)
5. Inside ten
WACHEZAJI WATANZANIA
1. Kipa
2. Beki wa kushoto (Gadiel)
3. Beki wa Kati (callibre ya Nyoni au Yondani)
4. Kiungo mkabaji
Mbele tuongeze Chisala wa NKANA na Tuyisenge wa GOR MAHIA.
Well saidSimba wamejitahidi sana. Kabla ya kufikiria nani atoke na nani asajiliwe kuna mlolongo wa mambo ambayo ni lazima yaangaliwe kwa mapana na marefu yake.
1. Kuuelewa vizuri mfumo wa mashindano haya na uwezo au ubovu wa kweli wa Simba. Hivi Simba, angepata zile pata kosa za Dar, matokeo yangekuwaje Lubumbashi? yangeweza kuwa mazuri zaidi, labda hata kwa penati. Simba iliendelea kufanya vibaya, kwa makosa mbalimbali baada ya Mazembe kusawazisha. Sababu mbalimbali ni kama zifuatazo, kuanzia no. 2,
2. Kuna uchovu wa jumla(general fatigue) kwa wachezaji ajili ya sababu mbali mbali.
a. Umri: Wawa, Erasto, Niyonzima,(coulybali sina uhakika), Kagere, Boko,Okwi. Kati ya hawa namuamini Kagere na Boko kwa kujilinda na kujijali kuhusu changamoto ya umri na wanaonekana kuimudu. Wawa pia anajitahidi ila inaonesha analemewa.
-- Erasto Nyoni kwa heshimna na taadhima; nahisi kidogo anajisahau, siamini kwa uwezo wake wa asili ange perform vile, aidha alikuwa anaumwa au ana mtindo wa maisha usiyo rafiki sana na michezo. Kama sivyo atanisamehe labda game ilimkataa kwani concentration (umakini) wake ulikuwa chini isivyo kawaida yake.
-- Niyonzima ana kipaji kizuri lakini haelekezwi vizuri. Hana nguvu, hivyo hatakiwi ku attempt kumpita mtu zaidi ya mmoja, hata huyo mmoja anatakiwa amuepuke. Location anayokuwepo anafanya moves ambazo being for example the last person, akinyanganywa ni hatari. Amefanya hivo mara nyingi. Kwa kiasi alichangia kuliweka lango la Simba hatarini. Kama ataendelea, awe yeye pekee mwenye shida hii katika kila line up. wengine wenye shida kama hii ni: Okwi na Hassan Dilunga. Penetration Pass ni nzuri sana ziki penetrate. Ikishindikana ni zahama. Hawa watu wanazipenda na zinaleta usumbufu.
Nikichanganya kidogo na Okwi na Boko, kulikuwa na dalili sana za untimely ulalamishi. Ile ulalamishi wa Boko dhidi ya refa haukuwa wa kimkakati. Ule ndiyo wakati Simba ilikuwa moto, badala ya kuwaongoza wachezaji wapate confidence zaidi anaanza kugombana na refa, sielewi faida ya mwenendo ule kwenye mazingira kama yale. Okwi sasa alianza tabia ya kucheza rafu za wazi akishapoteza mpira. Sielewi huo muenendo ameuanza lini.
Wachezaji hawa ni wale ambao wana umri uliosogea kidogo ambapo unaweza sema inabidi watumike kwa maarifa, hasa kwa kutetea ubingwa, wakati mkakati mzuri zaidi wa kuwachanganya na vijana walio tayari, ukifanywa. Hii ni kwa sababu, vijana waliopo Simba kwa sasa hawawezi kutetea ubingwa bila kundi hili. Ili kupata timu nzuri mbeleni, Simba lazima ikombe vijana wengi toka timu nyingine haraka iwezekanavyo la sivyo ijiandae kutumia pesa nyingi kupata wachezaji wa nje.
3. Saikolojia, utanzania na usimba
--- Usajili
Mfumo ambao ni kama professional una changamoto moja kwa Tanzania. Ukiishi Tanzania au ukizijua Simba na Yanga hata kama huishi Tanzania utajikuta umeishaipenda moja wapo. Sasa mchezaji analetwa kucheza professional soccer kwenye moja ya hizi timu aafu anaangukia mapenzi kwenye timu nyingine hususan Simba au Yanga ni Shiida. Huwezi ku predict performance hasa kama mapenzi ya kweli yako upande mwingine. Hii ipo hata kwa wachezaji wa kitanzania. Ni wachache sasa hivi wenye uchungu wa kama kina Haidari;Khalid;Baraza na Kajole kwa mfano kwa Simba au: Kapera;Kilambo;Gobbos; Kitwana kwa Yanga.
Hizi club ziwe na watu ambao ni kama mentors ( washauri au walezi kwa wachezaji) wawasaidie kujitambua kuwa hata kama hakuipenda klabu kabla, wajue namna ya ku perform ili wazisaidie timu na wasurvive.
Hii iwajenge pia wachezaji wa nje. Coulibaly pamoja na kutofanya vizuri juzi, ni mfano wa wafia timu tunaowahitaji.
-- Motisha
Nina mashaka na ukweli kuhusu motisha kwa wachezaji. Simba kwa mfano, sikuona wachezaji wakiwa na raha sana. Hata Okwi baada ya kufunga sikuona ufurahiaji wa pamoja kati ya wachezaji, Nahisi kuna kitu. Juuko alikuwa bench lakini hakuonekana kuelewa sababu ya kwenda bench.
--Team work
Sijui taaluma ya soka lakini naamini kuna kiwango cha pamoja cha ushirikishwaji wa wachezaji kuhusu mfumo unaotumika. Unaona mchezaji anaingia lakini haonyeshi kuelewa ameingizwa kwenda fanya nini! inashangaza.
4. Uchumi
Mfumo wa kampuni
Simba ikiwa katika mfumo wa kampuni, ni vizuri ikawa na kitengo cha utafiti ambacho kitakuja na majibu ya vipengere vya fursa za maendeleo ya mapato endelevu kwani ni wazi kuwa mapato ndiyo nguzo muhimu ya kuwezesha mipango mizuri kufanikiwa. Katika hili ni vizuri ikawekwa wazi na wapenzi wakaelimishwa kuwa ni nini wanaweza kuanza kufanya ili kupata au kushiriki katika asilimia yao 51 ya mali za Simba. Hapa ndiyo moja ya nguzo za maendeleo ya uhakika ya timu, uchumi, hatimaye mchezo. Vinginevyo unasikia mwenzio anasema thamani ya timu yake ni bilioni 200 unaanza kushangaa. Sababu ni kutoelewa vigezo na mipango pamoja na uhalisia wake.
Matayarisho
Pre-season, tuende nchi hizi hizi za Afrika. Lubumbashi; Kinshasa; Ndola; Luanda Morrocco, Tunisia hata Egypt. Hivi nani ametukataza kwenda huko? Hivi tukiomba friend match na Esperance de Tunisia; au na Nkana Rangers as well as Mamelodi watakataa kwa sababu gani?
Tunahitaji kuzoea washangiliaji wa ugenini kwa motisha maalumu. Hivi kuna shida kucheza tena na AS VITA? au Mazembe friend match? tuweke kambi kule tujue siri toka kwenye jamii, kama kweli ni mpira tu au kuna mambo mengine.
Hata hivyo hongera Simba, imeturdisha kama Tanzania tunapostahili na pa kuanzia ni Afcon. Sasa hivi hizi timu zetu kama zina sajili seriously zianzie Afcon, wakishindwa ndiyo washuke huko chini.