Kikosi cha Simba SC kimeondoka kwenda Afrika Kusini kujiandaa na Msimu Mpya 2019/2020

Kikosi cha Simba SC kimeondoka kwenda Afrika Kusini kujiandaa na Msimu Mpya 2019/2020

Kagera sugar wanaendaga wapi??home and away wanakuchapa...Kanji bando limekataa Uturuki mbali eeh?
 
ushamba bwana...mtu anashangaa Yanga kwenda moro ila hashangai Mamelodi au kaizer chiefs hawajaenda popote
 
ushamba bwana...mtu anashangaa Yanga kwenda moro ila hashangai Mamelodi au kaizer chiefs hawajaenda popote
Unafikiri kwa nini Yanga wameenda Moro hawajabaki dar Kwenye uwanja wanaofanyia kila siku.
Nilijibu kulingana na mawazo yako.
Je unafikiri kwa nini timu za uingereza huwa haziweki kambi hapo hapo uingereza?
 
Hivi amekujibu kweli, au anahangaika na kuvuna Matikiti...Safi mkuu
Unafikiri kwa nini Yanga wameenda Moro hawajabaki dar Kwenye uwanja wanaofanyia kila siku.
Nilijibu kulingana na mawazo yako.
Je unafikiri kwa nini timu za uingereza huwa haziweki kambi hapo hapo uingereza?
 
Naam...Baada kumalizika kwa msimu wa ligi kuu ya Tanzania TPL, 20 18/2019 na klabu ya Simba SC kutawazwa kuwa Mabingwa wa Tanzania kwa mara ya pili mfululizo, hatimaye ile safari ya kwenda Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya kwa ajili ya mashindano ligi kuu na michuano ya Kimataifa sasa ipo tayari.

Kikosi cha Klabu ya Simba SC, Mnyama Unyamani, leo Julai 15, 2019 kimeondoka kwa safari ya kwenda Afrika Kusini ambapo kitakuwepo huko kufanya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya Pre-Season.

Nyota wote wa Simba SC Ijumaa walikusanyika kwenye kambi ya timu hiyo Hotel ya Sea Scape iliyopo kando ya bahari ya Hindi jijini Dar es salaam na kupewa semina maalum Jumapili kabla ya leo Jumatatu kukwea MWEWE kwenda Afrika Kusini.

Simba SC, wakiwa nchini Afrika Kusini wanatarajia kucheza michezo ya kirafiki na baada hapo kikosi hicho kinatarajiwa kurejea nchini Agosti 5, 2019 ikiwa siku tatu kabla ya maadhimisho ya Simba Day Agosti 8.

View attachment 1153997View attachment 1153998View attachment 1153999

Haya ndiyo Maendeleo ya Uwekezaji ambayo tunayataka nchini Tanzania. Hongera kwa Wana Simba SC wote na nitope pia pongezi zangu kwa Uongozi wa Simba, Bodi na hadi kwa Mwekezaji mwenyewe kwa kuanza kuifanya Simba SC sasa iishi Kisasa zaidi huku ikiwa na Malengo makubwa ambayo nina Imani watayatimiza tu Siku si nyingi.
 
Unafikiri kwa nini Yanga wameenda Moro hawajabaki dar Kwenye uwanja wanaofanyia kila siku.
Nilijibu kulingana na mawazo yako.
Je unafikiri kwa nini timu za uingereza huwa haziweki kambi hapo hapo uingereza?

zile huwa zinaenda nje kibiashara zaidi
 
Wanapoteza pesa bure ligi yenyewe Ya kujiandaa hivyo ipo wapi? Bagamoyo au Moro pangetosha sana
Hatuwezijua nyuma ya pazia nini kilichowapeleka ukiongeza na timu ya wanawake walioenda Ujerumani.
 
Kwani umeambiwa wanajiandaa kwa ajili ya ligi tu? Na michuano ya Kimataifa haiwahusu?
Ninavyojua mimi samba maandalizi yake makubwa ni ili aje aishinde yanga tu hata na hao wenzao pia hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom