fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
maskini hata kunywa maji anafikiria pesa zitapotea, damn it
Wanapoteza pesa bure ligi yenyewe Ya kujiandaa hivyo ipo wapi? Bagamoyo au Moro pangetosha sana