Kikosi cha Simba SC kimeondoka kwenda Afrika Kusini kujiandaa na Msimu Mpya 2019/2020

Kikosi cha Simba SC kimeondoka kwenda Afrika Kusini kujiandaa na Msimu Mpya 2019/2020

Ligi Ya mabingwa mtaiweza? Hiyo sportpesa tu kila mwaka mnakimbia
Sportpesa wanaochukua ni timu za kenya... Je kenya kuna timu yenye rank sawa na Yanga au Simba kimataifa?
Sportpesa sio kipimo
 
Halafu ligi ikianza mnafuungwa na vitimu vya mikoani
Tyson au Maywether anapigwa ngumi nyingi tu... ila muhimu kwake awin game basi.
Kikubwa malengo yatimie, unafungwa na kagera halafu unabeba ndoo nini tatizo?
 
Back
Top Bottom