Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Si mlisema hakuna mchezaji wa yaņga atakaesajiliwa mbùmbumbu fc akapata namba imekuwajeGadiel hata mwili umeanza kurudi
Inamaana maandalizi ya ligi ya mabingwa Afrika yakafanyiwe Bagamoyo!!??? Kuwa serious basi.Wanapoteza pesa bure ligi yenyewe Ya kujiandaa hivyo ipo wapi? Bagamoyo au Moro pangetosha sana
Maisha ni fumbo gumu sana.
Gadiel.
Ajib.
Kakolanya.
Leo hii wangekuwa Morogoro wanagombania matikiti maji na Zahera.
Hao akina Makame Mbalawa mnatoka mapema tu CAF CLNusu faiʼnali kwa wačhezaji gani au wale wauza matikitì mliowaokota brazil n india?
Unafikiri kwa nini Yanga wameenda Moro hawajabaki dar Kwenye uwanja wanaofanyia kila siku.ushamba bwana...mtu anashangaa Yanga kwenda moro ila hashangai Mamelodi au kaizer chiefs hawajaenda popote
Yondani alikuja kwenu akawa captainSi mlisema hakuna mchezaji wa yaņga atakaesajiliwa mbùmbumbu fc akapata namba imekuwaje
Waambie kagera KMC yuko kimataifa wao wavute mkia tu.Kagera sugar wanaendaga wapi??home and away wanakuchapa...Kanji bando limekataa Uturuki mbali eeh?
Unaenda moro kucheza na academy ya U12.. ndio maandalizi hayo?ushamba bwana...mtu anashangaa Yanga kwenda moro ila hashangai Mamelodi au kaizer chiefs hawajaenda popote
Unafikiri kwa nini Yanga wameenda Moro hawajabaki dar Kwenye uwanja wanaofanyia kila siku.
Nilijibu kulingana na mawazo yako.
Je unafikiri kwa nini timu za uingereza huwa haziweki kambi hapo hapo uingereza?
Afu utaona mtu kafurahi eti wameshinda 10 - 1 , hapo unajipima niniUnaenda moro kucheza na academy ya U12.. ndio maandalizi hayo?
Naam...Baada kumalizika kwa msimu wa ligi kuu ya Tanzania TPL, 20 18/2019 na klabu ya Simba SC kutawazwa kuwa Mabingwa wa Tanzania kwa mara ya pili mfululizo, hatimaye ile safari ya kwenda Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya kwa ajili ya mashindano ligi kuu na michuano ya Kimataifa sasa ipo tayari.
Kikosi cha Klabu ya Simba SC, Mnyama Unyamani, leo Julai 15, 2019 kimeondoka kwa safari ya kwenda Afrika Kusini ambapo kitakuwepo huko kufanya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya Pre-Season.
Nyota wote wa Simba SC Ijumaa walikusanyika kwenye kambi ya timu hiyo Hotel ya Sea Scape iliyopo kando ya bahari ya Hindi jijini Dar es salaam na kupewa semina maalum Jumapili kabla ya leo Jumatatu kukwea MWEWE kwenda Afrika Kusini.
Simba SC, wakiwa nchini Afrika Kusini wanatarajia kucheza michezo ya kirafiki na baada hapo kikosi hicho kinatarajiwa kurejea nchini Agosti 5, 2019 ikiwa siku tatu kabla ya maadhimisho ya Simba Day Agosti 8.
View attachment 1153997View attachment 1153998View attachment 1153999
Unafikiri kwa nini Yanga wameenda Moro hawajabaki dar Kwenye uwanja wanaofanyia kila siku.
Nilijibu kulingana na mawazo yako.
Je unafikiri kwa nini timu za uingereza huwa haziweki kambi hapo hapo uingereza?
Hatuwezijua nyuma ya pazia nini kilichowapeleka ukiongeza na timu ya wanawake walioenda Ujerumani.Wanapoteza pesa bure ligi yenyewe Ya kujiandaa hivyo ipo wapi? Bagamoyo au Moro pangetosha sana
Ninavyojua mimi samba maandalizi yake makubwa ni ili aje aishinde yanga tu hata na hao wenzao pia hivyo hivyoKwani umeambiwa wanajiandaa kwa ajili ya ligi tu? Na michuano ya Kimataifa haiwahusu?
Inamaana maandalizi ya ligi ya mabingwa Afrika yakafanyiwe Bagamoyo!!??? Kuwa serious basi.