OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nini maoni yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe panga hapo bado linahusikaWanatakiwa wachezaji 23 tu kuna mchujo mwingine utapita hapo
Himid Mao Ni mchezaji wa kutegemewa anacheza first 11 ya PetrojetHahahaaa goli 4 za kufikia tu tena mechi ya kwanza Himid mao, Yahya zaid, Shaban chilunda, Abdi banda, Shiza kichuya, Thomas ulimwengu, na Farid musa ni WAKAA BENCHI WAKUBWA SASA SIJUI WANAKUJA KUFANYA NINI.
Himid mao kaanza mechi ya mwisho ya tarehe 20 ambayo walishnda 2-1 wakiwa nyumbani na hakufanyiwa substitution tu za nyuma karibu nne hakuanzaHimid Mao Ni mchezaji wa kutegemewa anacheza first 11 ya Petrojet
Hahahaaa goli 4 za kufikia tu tena mechi ya kwanza Himid mao, Yahya zaid, Shaban chilunda, Abdi banda, Shiza kichuya, Thomas ulimwengu, na Farid musa ni WAKAA BENCHI WAKUBWA SASA SIJUI WANAKUJA KUFANYA NINI.
Mbona unakosa uungwana kaka, kwanini unitukane hayo ni mawazo yangu binafsi tu yanaweza yakawa na athari au yasiwe na athari yoyote. Hao wachezaji niliowataja ni lazima wapate nafasi angalau wanne kwa kucheza kwao ligi shindani sasa kule hawachezi wanasota benchi watatufedheesha AFCON.Wewe jamaa nimngese mkubwa saaa ulitaka wacheze wote 23 uwanjani au?
Kichuya hakai bench,acha hisiaHahahaaa goli 4 za kufikia tu tena mechi ya kwanza Himid mao, Yahya zaid, Shaban chilunda, Abdi banda, Shiza kichuya, Thomas ulimwengu, na Farid musa ni WAKAA BENCHI WAKUBWA SASA SIJUI WANAKUJA KUFANYA NINI.
Kwani wakati samatta ana kadi mbili za njano mechi zidi ya lesotho ukuona chilunda alivyocheza au unajitoa ufahamu?Mbona unakosa uungwana kaka, kwanini unitukane hayo ni mawazo yangu binafsi tu yanaweza yakawa na athari au yasiwe na athari yoyote. Hao wachezaji niliowataja ni lazima wapate nafasi angalau wanne kwa kucheza kwao ligi shindani sasa kule hawachezi wanasota benchi watatufedheesha AFCON.
Matusi ninayo tena ni ghali mno kwa kifupi mimi ni muhuni msomi leo sina mudi hiyo tafadhali braza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kagere, Makambo, Okwi, Chama mbona sioni majina yao? Maana hawa ndio nawasikia wanatamba kwenye soka la bongo.