Kikosi cha Taifa Stars CHAN na AFCON chatajwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
58708022_1330791760393442_4606204046724825088_o.jpg

Nini maoni yako
 
Hahahaaa goli 4 za kufikia tu tena mechi ya kwanza Himid mao, Yahya zaid, Shaban chilunda, Abdi banda, Shiza kichuya, Thomas ulimwengu, na Farid musa ni WAKAA BENCHI WAKUBWA SASA SIJUI WANAKUJA KUFANYA NINI.
Himid Mao Ni mchezaji wa kutegemewa anacheza first 11 ya Petrojet
 
Bora kamkumbuka AJIBU ila kama atafanikiwa mchujo wa mwisho, mwalimu afanye kazi ya ziada kumpunguza kitambi, aongezewe spidi na kuwa na maamuzi ya haraka apunguze chenga zisizo za msingi kama niyonzima anampiga mtu chenga halafu anamrudia tena badala ya kwenda mbele hakika atatisha kama atatumia uzoefu wake wa krosi za uhakika na awe na wamaliziaji wazuri
 
Kocha anavutiwa na soka la Wana paluhengo ila pia ukiondoa Simba,yanga na Azam wao ndio wanafuata kwa karibu na ni wapiganaji na msimu huu watachukua FA
 
Wewe jamaa nimngese mkubwa saaa ulitaka wacheze wote 23 uwanjani au?
Hahahaaa goli 4 za kufikia tu tena mechi ya kwanza Himid mao, Yahya zaid, Shaban chilunda, Abdi banda, Shiza kichuya, Thomas ulimwengu, na Farid musa ni WAKAA BENCHI WAKUBWA SASA SIJUI WANAKUJA KUFANYA NINI.
 
Wewe jamaa nimngese mkubwa saaa ulitaka wacheze wote 23 uwanjani au?
Mbona unakosa uungwana kaka, kwanini unitukane hayo ni mawazo yangu binafsi tu yanaweza yakawa na athari au yasiwe na athari yoyote. Hao wachezaji niliowataja ni lazima wapate nafasi angalau wanne kwa kucheza kwao ligi shindani sasa kule hawachezi wanasota benchi watatufedheesha AFCON.

Matusi ninayo tena ni ghali mno kwa kifupi mimi ni muhuni msomi leo sina mudi hiyo tafadhali braza
 
Hahahaaa goli 4 za kufikia tu tena mechi ya kwanza Himid mao, Yahya zaid, Shaban chilunda, Abdi banda, Shiza kichuya, Thomas ulimwengu, na Farid musa ni WAKAA BENCHI WAKUBWA SASA SIJUI WANAKUJA KUFANYA NINI.
Kichuya hakai bench,acha hisia
 
Mbona unakosa uungwana kaka, kwanini unitukane hayo ni mawazo yangu binafsi tu yanaweza yakawa na athari au yasiwe na athari yoyote. Hao wachezaji niliowataja ni lazima wapate nafasi angalau wanne kwa kucheza kwao ligi shindani sasa kule hawachezi wanasota benchi watatufedheesha AFCON.

Matusi ninayo tena ni ghali mno kwa kifupi mimi ni muhuni msomi leo sina mudi hiyo tafadhali braza
Kwani wakati samatta ana kadi mbili za njano mechi zidi ya lesotho ukuona chilunda alivyocheza au unajitoa ufahamu?
 
Kagere, Makambo, Okwi, Chama mbona sioni majina yao? Maana hawa ndio nawasikia wanatamba kwenye soka la bongo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu bila shaka una jokes hapa
 
Back
Top Bottom