alliJAY4_four
Senior Member
- May 4, 2017
- 173
- 94
Ila hii game ni muhimu sana kwetu yaani dahKikosi kiko POWA Kocha amewaita wachezaji ambao wamekuwa wakitumika Mara kwa Mara kwenye vilabu vyao. Nimefurahi kumujumuisha kipa wa Mbao fc, kiukweli ni kipa mzuri, ameonyesha kiwango kizuri kuanzia kwenye michuano ya sports pesa, kwenye ligi pia ni kipa mzuri anafaa kuchezea stars. Mengine nawaachia wadau wenzangu nanyi mchangie
daaaah kwaiyo mzeee coach inaonekana amezingua laanaNimeshangaa sana huyu kocha unamuacha Paul Godfrey wa Yanga na alivyo form muda huu, Sure boy wa Azam, Daaaaaaah. Unamchukua Soso wa Lipuli unamwacha shabalala kweli? Mana hata Gadiel Michael hamfikii shabalala kwa performance aliyonayo saizi.
Unamwacha yule anayeongoza kwa magoli Tanzania bara unamchukua yule wa Botswana ambaye hamna mmoja anaejua performance yake kwa sasa. Daaaaah ama kweli Timu ni kichwa cha mwenda wa zimu na kocha hivyo hivyo. Hivi kweli unamwacha Ninja unamchukua Dante kweli?
Sitegemei kupata matokeo dhidi ya uganda, we unamchukua kichuya unamwacha dilunga kweli kwa vile ameenda misri na kule achezi huo ni ushamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichuya kumbe alishaondoka Simba? Naona kocha kaamua kuamini wanaocheza nje ya nchi. Sasa Thomas Ulimwengu bado anaaminika na kapwaya kote kule?? Bora mara kumi angemchukua ibrahim AjibNimeshangaa sana huyu kocha unamuacha Paul Godfrey wa Yanga na alivyo form muda huu, Sure boy wa Azam, Daaaaaaah. Unamchukua Soso wa Lipuli unamwacha shabalala kweli? Mana hata Gadiel Michael hamfikii shabalala kwa performance aliyonayo saizi.
Unamwacha yule anayeongoza kwa magoli Tanzania bara unamchukua yule wa Botswana ambaye hamna mmoja anaejua performance yake kwa sasa. Daaaaah ama kweli Timu ni kichwa cha mwenda wa zimu na kocha hivyo hivyo. Hivi kweli unamwacha Ninja unamchukua Dante kweli?
Sitegemei kupata matokeo dhidi ya uganda, we unamchukua kichuya unamwacha dilunga kweli kwa vile ameenda misri na kule achezi huo ni ushamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri tunaushamba wa watu wanaocheza nje.Kichuya kumbe alishaondoka Simba? Naona kocha kaamua kuamini wanaocheza nje ya nchi. Sasa Thomas Ulimwengu bado anaaminika na kapwaya kote kule?? Bora mara kumi angemchukua ibrahim Ajib
mimi naona ina haja azidi kubadilisha wachezaji ili ahakikishe tunapa ushindi asee safari hiiNafikiri tunaushamba wa watu wanaocheza nje.
Wapo wengi wapo nje lakini kwenye timu zao hawachezi lakini wameitwa.
Hivi Banda amemwacha kwa sababu zipi ni majeruhi au?
Mi toka anipangie kikosi kibaya na Lesotho niliacha kumwamini toka pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mechi ambayo hakustaili kubadilisha wachezaji ni hii ya stars tena ya kimashindano,mimi naona ina haja azidi kubadilisha wachezaji ili ahakikishe tunapa ushindi asee safari hii
huyu coach sijetukosesha nafasi ya kupita makundiKatika mechi ambayo hakustaili kubadilisha wachezaji ni hii ya stars tena ya kimashindano,
Kwanza ulitakiwa uchezeshe wachezaji waliozoeana ili usipate shida kupata chemistry ya wachezaji kulingana na muda wa kujiandaa ulivyomdogo.
Pili hata kama unafanya kuingiza maigizo mapya basi chukua watu ambao wapo kwenye performance nzr kama Paul Godfrey. Mi ni mshabiki wa simba ila kwa wachezaji wanacheza ndani ya ligi yetu sijaona RB kama Paul Godfrey kwa sasa.
Namshauri hata Mo amchukue huyu kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa Sure Boy Na Muda wangeongoza jahazi vizuri Hawa Azam wameonyesha mchezo mzuriNimeshangaa sana huyu kocha unamuacha Paul Godfrey wa Yanga na alivyo form muda huu, Sure boy wa Azam, Daaaaaaah. Unamchukua Soso wa Lipuli unamwacha shabalala kweli? Mana hata Gadiel Michael hamfikii shabalala kwa performance aliyonayo saizi.