KIKOSI CHA TANZANIA VS UGANDA KWENYE AFCON 2019

alliJAY4_four

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
173
Reaction score
94
Head coach wa team ya taifa Tanzania, Amunike ametangaza list ya wachezaji 25 ambao watatuwakilisha katika pambano dhidi ya Uganda kwenye AFCON 2019. Wapo wachezaji makini sana amewachagua akiwemo samatta, ulimwengu, farid mussa na wengine kibao...pitia iyo list ya wachezaji apo chini alafu nambie kama kikosi kiko makini au kazingua.....nambie mchezaji makini ambae alikua anastahili kuwekwa na hajaitwa, au nan ameitwa ila hakustahili kuitwa. kumbuka we need to win this game na tuombee njaa lesotho apigwe au asuluhu huku na sisi tuhakikishe tunashinda
Screenshot from 2019-03-09 07-56-44.png
 
Kikosi kiko POWA Kocha amewaita wachezaji ambao wamekuwa wakitumika Mara kwa Mara kwenye vilabu vyao. Nimefurahi kumujumuisha kipa wa Mbao fc, kiukweli ni kipa mzuri, ameonyesha kiwango kizuri kuanzia kwenye michuano ya sports pesa, kwenye ligi pia ni kipa mzuri anafaa kuchezea stars. Mengine nawaachia wadau wenzangu nanyi mchangie
 
Ila hii game ni muhimu sana kwetu yaani dah
 
Nimeshangaa sana huyu kocha unamuacha Paul Godfrey wa Yanga na alivyo form muda huu, Sure boy wa Azam, Daaaaaaah. Unamchukua Soso wa Lipuli unamwacha shabalala kweli? Mana hata Gadiel Michael hamfikii shabalala kwa performance aliyonayo saizi.
Unamwacha yule anayeongoza kwa magoli Tanzania bara unamchukua yule wa Botswana ambaye hamna mmoja anaejua performance yake kwa sasa. Daaaaah ama kweli Timu ni kichwa cha mwenda wa zimu na kocha hivyo hivyo. Hivi kweli unamwacha Ninja unamchukua Dante kweli?
Sitegemei kupata matokeo dhidi ya uganda, we unamchukua kichuya unamwacha dilunga kweli kwa vile ameenda misri na kule achezi huo ni ushamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaaah kwaiyo mzeee coach inaonekana amezingua laana
 
Kichuya kumbe alishaondoka Simba? Naona kocha kaamua kuamini wanaocheza nje ya nchi. Sasa Thomas Ulimwengu bado anaaminika na kapwaya kote kule?? Bora mara kumi angemchukua ibrahim Ajib
 
Nafikiri tunaushamba wa watu wanaocheza nje.
Wapo wengi wapo nje lakini kwenye timu zao hawachezi lakini wameitwa.
Hivi Banda amemwacha kwa sababu zipi ni majeruhi au?
Mi toka anipangie kikosi kibaya na Lesotho niliacha kumwamini toka pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri tunaushamba wa watu wanaocheza nje.
Wapo wengi wapo nje lakini kwenye timu zao hawachezi lakini wameitwa.
Hivi Banda amemwacha kwa sababu zipi ni majeruhi au?
Mi toka anipangie kikosi kibaya na Lesotho niliacha kumwamini toka pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi naona ina haja azidi kubadilisha wachezaji ili ahakikishe tunapa ushindi asee safari hii
 
Katika mechi ambayo hakustaili kubadilisha wachezaji ni hii ya stars tena ya kimashindano,
Kwanza ulitakiwa uchezeshe wachezaji waliozoeana ili usipate shida kupata chemistry ya wachezaji kulingana na muda wa kujiandaa ulivyomdogo.
Pili hata kama unafanya kuingiza maigizo mapya basi chukua watu ambao wapo kwenye performance nzr kama Paul Godfrey. Mi ni mshabiki wa simba ila kwa wachezaji wanacheza ndani ya ligi yetu sijaona RB kama Paul Godfrey kwa sasa.
Namshauri hata Mo amchukue huyu kijana

huyu coach sijetukosesha nafasi ya kupita makundi
 
Nimeshangaa sana huyu kocha unamuacha Paul Godfrey wa Yanga na alivyo form muda huu, Sure boy wa Azam, Daaaaaaah. Unamchukua Soso wa Lipuli unamwacha shabalala kweli? Mana hata Gadiel Michael hamfikii shabalala kwa performance aliyonayo saizi.
Unamwacha yule anayeongoza kwa magoli Tanzania bara unamchukua yule wa Botswana ambaye hamna mmoja anaejua performance yake kwa sasa. Daaaaah ama kweli Timu ni kichwa cha mwenda wa zimu na kocha hivyo hivyo. Hivi kweli unamwacha Ninja unamchukua Dante kweli?
Sitegemei kupata matokeo dhidi ya uganda, we unamchukua kichuya unamwacha dilunga kweli kwa vile ameenda misri na kule achezi huo ni ushamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa Sure Boy Na Muda wangeongoza jahazi vizuri Hawa Azam wameonyesha mchezo mzuri
 
Kamuacha paul boksa ilihali yupo kwenye pick angewasaidia kuwakimbiza kimbiza na kumwaga majalo

Sent from my using Tapatalk
 
Back
Top Bottom