alliJAY4_four
Senior Member
- May 4, 2017
- 173
- 94
Head coach wa team ya taifa Tanzania, Amunike ametangaza list ya wachezaji 25 ambao watatuwakilisha katika pambano dhidi ya Uganda kwenye AFCON 2019. Wapo wachezaji makini sana amewachagua akiwemo samatta, ulimwengu, farid mussa na wengine kibao...pitia iyo list ya wachezaji apo chini alafu nambie kama kikosi kiko makini au kazingua.....nambie mchezaji makini ambae alikua anastahili kuwekwa na hajaitwa, au nan ameitwa ila hakustahili kuitwa. kumbuka we need to win this game na tuombee njaa lesotho apigwe au asuluhu huku na sisi tuhakikishe tunashinda