Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa stars' kikiwa ndani ya Ndege kuelekea Cape Verde

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa stars' kikiwa ndani ya Ndege kuelekea Cape Verde

Yaani tatizo la taifa stars ni pale mnapowapa attention ya kitaifa lazima watapigwa tena kipigo cha mbwa koko, lakini mkiwapotezea huwa wanaendelea vizuri tu huko
Ulipata vipi nafasi ya kuingia kwenye ubongo wangu!!!....100% true
 
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kikiwa ndani ya ndege maalumu ya kukodi kuelekea nchi ya Cape Verde kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2019.

Awali Taifa stars ilikuwa wasafiri na ndege ya Air Tanzania Boeing 787-8 Dreamliner, lakini imeshindikana baada ya kubaini kuwa uwanja wa ndege wa Cape Verde hupokei ndege kubwa kama Dreamliner.

Katika michuano hiyo ya mataifa ya Afrika, Taifa Stars inakwaruza na Cape Verde siku ya Ijumaa Oktoba 12, 2018 na itarudiana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Oktoba 16, siku nne baadaye.View attachment 892852View attachment 892853View attachment 892854
"dreamliner" kweli ni bonge la ndege...

please hide my ID!
 
shithole country,kwa hiyo ndege yetu kubwa imeota mbawa,na kwa sababu sisi ni wasadikikika tunaongopewa kuwa ile ndege haiwezi tua pale Cape verde wakati uwanja wao wa ndege ni moja ya vituo vikubwa vya to refuel miaka mingi huko nyuma wakati sisi bado tunajiunga na vijiji vya ujamaa,kumbuka ile ajali ya ndege kubwa mbili zilizogongana pale na kuuwa abiria wengi,always facts zibakie hivyo,hiki kiwanja cha ndege ni moja ya viwanja vilivyojengwa kwa makusudi ya ndege kubwa kutua,na techonolojia ya sasa urefu wa run way sio factor kubwa,kumbuka Ethiopian Airways pale Arusha!!!

Mkuu kwa taarifa yako sio kila runway ndege zote zinaweza kutua na kuondoka, tafuta youtube ya Captain Shaidi alivyoileta Dreamliner then utafumbua macho kidogo kuwa kuna factors kadhaa ambazo huwa wanaziangalia kwanza... lakini ukweli unabaki kuwa mzee na matamko yake yalikuwa ya kisiasa zaidi na si uhalisia kwani Dreamliner ina uwezo wa kutua na kuondoka Cape Verde bila shida
 
shithole country,kwa hiyo ndege yetu kubwa imeota mbawa,na kwa sababu sisi ni wasadikikika tunaongopewa kuwa ile ndege haiwezi tua pale Cape verde wakati uwanja wao wa ndege ni moja ya vituo vikubwa vya to refuel miaka mingi huko nyuma wakati sisi bado tunajiunga na vijiji vya ujamaa,kumbuka ile ajali ya ndege kubwa mbili zilizogongana pale na kuuwa abiria wengi,always facts zibakie hivyo,hiki kiwanja cha ndege ni moja ya viwanja vilivyojengwa kwa makusudi ya ndege kubwa kutua,na techonolojia ya sasa urefu wa run way sio factor kubwa,kumbuka Ethiopian Airways pale Arusha!!!

Ethiopian Airways pale arusha ilikuja kurushwa na watalaam kutoka nje sio marubani wao wa kawaida labda hulijui hilo.
 
Acha usanii wewe unavojua Ethiopia ile ndege ilitua pale kwa kupenda au ni emergency landing. Au unajua ile takeoff ya ile ndege ilikuwa rahisi Sana eeh
Kwahivyo ulitakaje hapo?
 
Safari hii December nikienda Moshi kuhesabiwa lazima nipande fastjet.

Tena namuomba konda anipangie na mtoto mkaliiii. Maana kwa mbanano huo japo safari ni ya mda mfupi ila nitafaidi kuliko kupanda basi.
 
Utafikili mambasi ya mwendokasi,walivo banana
 
Na hapo Taifa stars pamoja yakubanana ndiyo wamekaa ''first class / VIP" naona kapazi nyuma yao kuonesha wanajaliwa

Ilitakiwa kila mchezaji mmoja kukalia viti viwili ili wasipate madhara yanayotambuliwa ktk sport science ,maana Embraer e-190 ni kwa safari fupi za masaa mawili maximum na siyo kwa safari ya Cape Verde ya masaa 6.

Bingwa wa afya za michezo hakumwambia mambo hayo Mwakyembe /TFF juu ya umuhimu wa room-leg kwa wanamichezo ktk usafiri ili wanamichezo wetu waweze kuwa fit kimchezo.

Hongera kampuni yetu ya kizalendo Fastjet kwa kuokoa jahazi la usafiri.
 
Back
Top Bottom