Ulipata vipi nafasi ya kuingia kwenye ubongo wangu!!!....100% trueYaani tatizo la taifa stars ni pale mnapowapa attention ya kitaifa lazima watapigwa tena kipigo cha mbwa koko, lakini mkiwapotezea huwa wanaendelea vizuri tu huko
"dreamliner" kweli ni bonge la ndege...Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kikiwa ndani ya ndege maalumu ya kukodi kuelekea nchi ya Cape Verde kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2019.
Awali Taifa stars ilikuwa wasafiri na ndege ya Air Tanzania Boeing 787-8 Dreamliner, lakini imeshindikana baada ya kubaini kuwa uwanja wa ndege wa Cape Verde hupokei ndege kubwa kama Dreamliner.
Katika michuano hiyo ya mataifa ya Afrika, Taifa Stars inakwaruza na Cape Verde siku ya Ijumaa Oktoba 12, 2018 na itarudiana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Oktoba 16, siku nne baadaye.View attachment 892852View attachment 892853View attachment 892854
shithole country,kwa hiyo ndege yetu kubwa imeota mbawa,na kwa sababu sisi ni wasadikikika tunaongopewa kuwa ile ndege haiwezi tua pale Cape verde wakati uwanja wao wa ndege ni moja ya vituo vikubwa vya to refuel miaka mingi huko nyuma wakati sisi bado tunajiunga na vijiji vya ujamaa,kumbuka ile ajali ya ndege kubwa mbili zilizogongana pale na kuuwa abiria wengi,always facts zibakie hivyo,hiki kiwanja cha ndege ni moja ya viwanja vilivyojengwa kwa makusudi ya ndege kubwa kutua,na techonolojia ya sasa urefu wa run way sio factor kubwa,kumbuka Ethiopian Airways pale Arusha!!!
Endapo tushinda hz game mbili away na homeMwaka huu tunafuzu kuwa na imani na Taifa Stars..!
shithole country,kwa hiyo ndege yetu kubwa imeota mbawa,na kwa sababu sisi ni wasadikikika tunaongopewa kuwa ile ndege haiwezi tua pale Cape verde wakati uwanja wao wa ndege ni moja ya vituo vikubwa vya to refuel miaka mingi huko nyuma wakati sisi bado tunajiunga na vijiji vya ujamaa,kumbuka ile ajali ya ndege kubwa mbili zilizogongana pale na kuuwa abiria wengi,always facts zibakie hivyo,hiki kiwanja cha ndege ni moja ya viwanja vilivyojengwa kwa makusudi ya ndege kubwa kutua,na techonolojia ya sasa urefu wa run way sio factor kubwa,kumbuka Ethiopian Airways pale Arusha!!!
Na mimi naona ile nembo kwenye viti ni ya Fast jet. Tulijidai kuwakomoa sasa tunakodi pipa lao.Timu ya taifa kwenye Fastjet kivilpi, sio Bombardiee?!
La khaula !!
[emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi naona ile nembo kwenye viti ni ya Fast jet. Tulijidai kuwakomoa sasa tunakodi pipa lao.
Ni kampuni mpya? ππππ jamani keyboard hiziHiyo ni fastet
Serikali wamekodi