Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa stars' kikiwa ndani ya Ndege kuelekea Cape Verde

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa stars' kikiwa ndani ya Ndege kuelekea Cape Verde

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kikiwa ndani ya ndege maalumu ya kukodi kuelekea nchi ya Cape Verde kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2019.

Awali Taifa stars ilikuwa wasafiri na ndege ya Air Tanzania Boeing 787-8 Dreamliner, lakini imeshindikana baada ya kubaini kuwa uwanja wa ndege wa Cape Verde hupokei ndege kubwa kama Dreamliner.

Kiwanja cha ndege Praia ni kidogo njia yake ina urefu wa KM 2.1 Dreamliner inahitaji kiwanja chenye urefu si chini ya KM 3 iweze kutua na kuruka.

Kipo kisiwa cha Sal Cape Verde ndio chenye kiwanja kirefu ambapo Dreamliner ingetua, kutoka Sal kwenda Praia ni mwendo wa dakika 45 ambazo zingeweza kuathiri performance ya timu ya Taifa na usumbufu.

Katika michuano hiyo ya mataifa ya Afrika, Taifa Stars inakwaruza na Cape Verde siku ya Ijumaa Oktoba 12, 2018 na itarudiana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Oktoba 16, siku nne baadaye.
IMG_20181010_104318_028.jpeg
IMG_20181010_104244_269.jpeg
IMG_20181010_104342_659.jpeg
 
Yaani tatizo la taifa stars ni pale mnapowapa attention ya kitaifa lazima watapigwa tena kipigo cha mbwa koko, lakini mkiwapotezea huwa wanaendelea vizuri tu huko
 
shithole country,kwa hiyo ndege yetu kubwa imeota mbawa,na kwa sababu sisi ni wasadikikika tunaongopewa kuwa ile ndege haiwezi tua pale Cape verde wakati uwanja wao wa ndege ni moja ya vituo vikubwa vya to refuel miaka mingi huko nyuma wakati sisi bado tunajiunga na vijiji vya ujamaa,kumbuka ile ajali ya ndege kubwa mbili zilizogongana pale na kuuwa abiria wengi,always facts zibakie hivyo,hiki kiwanja cha ndege ni moja ya viwanja vilivyojengwa kwa makusudi ya ndege kubwa kutua,na techonolojia ya sasa urefu wa run way sio factor kubwa,kumbuka Ethiopian Airways pale Arusha!!!
 
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kikiwa ndani ya ndege kuelekea Cape Verde kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2019.

Katika michuano hiyo ya mataifa ya Afrika, Taifa Stars inakwaruza na Cape Verde siku ya Ijumaa Oktoba 12, 2018 na itarudiana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam siku nne baadaye.View attachment 892852View attachment 892853View attachment 892854
Sura zao zinasadifu kwenda kupigwa kabisaaa! Hakuna uchangamfu kabisa?
 
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kikiwa ndani ya ndege maalumu ya kukodi kuelekea nchi ya Cape Verde kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2019.

Awali Taifa stars ilikuwa wasafiri na ndege ya Air Tanzania Boeing 787-8 Dreamliner lakini imeshindikana baada ya kubaini kuwa uwanja wa ndege wa Cape Verde hupokei ndege kubwa kama Dreamliner.

Katika michuano hiyo ya mataifa ya Afrika, Taifa Stars inakwaruza na Cape Verde siku ya Ijumaa Oktoba 12, 2018 na itarudiana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam siku nne baadaye.View attachment 892852View attachment 892853View attachment 892854
hii itakua q400
 
Acha usanii wewe unavojua Ethiopia ile ndege ilitua pale kwa kupenda au ni emergency landing. Au unajua ile takeoff ya ile ndege ilikuwa rahisi Sana eeh
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Back
Top Bottom