Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia asubuhi, gari ni mbovu Sana (ni Hiace mbili tu zenye unafuu) njia hii hakuna trafiki hata mmoja, wanashindana na Costa za Nyamadoke, na bajaji yaani ni vurugu tupu...kwa wiki hii tu tayari kuna ajali 6 na watu wawili wamepoteza maisha!
Jambo la kushangaza ni kwamba madereva wa gari kubwa maarufu kama Costa wenyewe hawana fujo tofauti na wenzao wa Hiace!
Msije kusema hatukuwaambia, taarifa hii itabaki kama ushahidi!
Jambo la kushangaza ni kwamba madereva wa gari kubwa maarufu kama Costa wenyewe hawana fujo tofauti na wenzao wa Hiace!
Msije kusema hatukuwaambia, taarifa hii itabaki kama ushahidi!