Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kikosi cha wachezaji 25 cha Mabingwa wa Nchi na Wawakilishi wa TANZANIA Mnyama Mkali, Simba SC, ambao wanasafiri leo Jumatano saa 10:45 Alasiri Machi 3, 2021 kuelekea nchini Khartoum Sudan, kupitia Addis Ababa Ethiopia, kuwakabili Al Merreikh kwenye mchezo wa kundi A wa Klabu Bingwa Afrika ambao utapigwa siku ya Jumamosi ya Machi 6, 2021
Wachezaji wanne wa Simba SC ambao hawakujumuishwa kwenye msafara wa kikosi cha timu hiyo ni;
1.Bernard Morrison
2.Said Ndemla
3.Ibrahim Ame.
4.Junior Lokosa
========
Kikosi cha Mabingwa wa Nchi Mnyama Simba SC, kimefika tayari uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kwenda Khartoum Sudan kupitia Addis Ababa Ethiopia.