Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji wanaoanza na wanaokaa kwenye benchi siku ya mchezo wote wanakuwepo uwanjani.Hivi wachezaji wale ambao hawapo kwenye benchi siku husika ya match wanakuwaga wapi wakati wa mchezo?
Jukwaani??
Au wanakuwa kambini wakifatilia match kwenye ndani katika mwenye tv?
Jezi zinabadilishwa mpya kila mechi kwa zama hizi tofauti na zamani.Naongezea swali pia, hivi jezi wanabadilisha mpya kila mechi? Na baada ya mechi zinaenda wapi?
Huyo Morrison nini tena mpaka aachwe! Au lile busha limemrudia kwa mara nyingine tena!!Kikosi cha wachezaji 25 cha Mabingwa wa Nchi na Wawakilishi wa TANZANIA Mnyama Mkali, Simba SC, ambao wanasafiri leo Jumatano saa 10:45 Alasiri Machi 3, 2021 kuelekea nchini Khartoum Sudan, kupitia Addis Ababa Ethiopia, kuwakabili Al Merreikh kwenye mchezo wa kundi A wa Klabu Bingwa Afrika ambao utapigwa siku ya Jumamosi ya Machi 6, 2021
Wachezaji wanne wa Simba SC ambao hawakujumuishwa kwenye msafara wa kikosi cha timu hiyo ni;
1.Bernard Morrison
2.Said Ndemla
3.Ibrahim Ame.
4.Junior Lokosa
View attachment 1716242
========
Kikosi cha Mabingwa wa Nchi Mnyama Simba SC, kimefika tayari uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kwenda Khartoum Sudan kupitia Addis Ababa Ethiopia.
Na mimi naongezea swali!!Na Mimi naongeza swali!
Baada ya pre match warm ups huwa wanaoga kabla ya kuvaa jersey na kuingia uwanjani?
Na mim nauliza hivi vile viatu na soksi huwa wanabadlisha kila baada ya mazoezi na mechi.Na Mimi naongeza swali!
Baada ya pre match warm ups huwa wanaoga kabla ya kuvaa jersey na kuingia uwanjani?
Ndiyo.Yule Chikwende tulimsajili ili acheze na kina Ihefu, Mwadui, Biashara....!
Hapana sio hivyo mkuu, tatizo ni Mwaka..... ameenda tena CAS. kwani ujui?!Huyo Morrison nini tena mpaka aachwe! Au lile busha limemrudia kwa mara nyingine tena!!
mchezaji mmoja inabidi arudi golini ku replace nafasi ya kipaNa mimi naongezea swali!!
Ikitokea makipa wote wakapewa kadi nyekundu hivi kocha wa makipa anaruhusiwa kuingia kudaka?
Lukosa kaishaambaa,morisson kapigwa pin na cafKikosi cha wachezaji 25 cha Mabingwa wa Nchi na Wawakilishi wa TANZANIA Mnyama Mkali, Simba SC, ambao wanasafiri leo Jumatano saa 10:45 Alasiri Machi 3, 2021 kuelekea nchini Khartoum Sudan, kupitia Addis Ababa Ethiopia, kuwakabili Al Merreikh kwenye mchezo wa kundi A wa Klabu Bingwa Afrika ambao utapigwa siku ya Jumamosi ya Machi 6, 2021
Wachezaji wanne wa Simba SC ambao hawakujumuishwa kwenye msafara wa kikosi cha timu hiyo ni;
1.Bernard Morrison
2.Said Ndemla
3.Ibrahim Ame.
4.Junior Lokosa
View attachment 1716242
========
Kikosi cha Mabingwa wa Nchi Mnyama Simba SC, kimefika tayari uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kwenda Khartoum Sudan kupitia Addis Ababa Ethiopia.
Bahati mbaya ana leseni....Sijaelewa!Kocha Gomes amesema;
"Peter Muduhwa ni mchezaji mzuri sana, anatupa kitu bora sana mazoezini, lakini bahati mbaya ana leseni ya kucheza Klabu Bingwa.
Huwa naongea naye ili kumsaidia kumpa kujiamini zaidi, tayari kama benchi la ufundi tunaamini juu ya uwezo wake, na tunaamini hazina kubwa na muhimu ndani ya klabu".
Kuhusu Morrison kwangu kama Ghazwat Kocha anangalia vitu vingi katika Selection yake, kubwa ni utimamu wa mwili kwa mchezaji
Na mimi nauliza swaliNa mim nauliza hivi vile viatu na soksi huwa wanabadlisha kila baada ya mazoezi na mechi.
Sent from my itel A12 using JamiiForums mobile app
Ana leseni ya kucheza klabu bingwa tu na si ligi ya ndani yaani vpl .Bahat
Bahati mbaya ana leseni....Sijaelewa!
Sababu refa ni mchezaji asie na mchezaji mpinzani, Wachezaji wengine wote wana wachezaji wapinzani....Na mimi nauliza swali
Kama refa ni mchezaji kwa nini jezi yake ina mifuko..? Wakati jezi za wachezaji wengine hazina mifuko!!