Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Tangu huyu kocha aanze kikosi chake anachopanga hakijawahi kufanya makosa ya ajabu ajabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani we acha tu, bora kishingo aliondoka maana ilikuwa ni pressure tupu,Tangu huyu kocha aanze kikosi chake anachopanga hakijawahi kufanya makosa ya ajabu ajabu.
Na mimi naongezea swali!!
Ikitokea makipa wote wakapewa kadi nyekundu hivi kocha wa makipa anaruhusiwa kuingia kudaka?
Tatizo nidhamu, na uwanjani dk zake ni 20-30 zaidi ya hapo hawezi kutokana na experience ya mechi alizocheza.Yani unamchukua Ajibu alafu unamuacha mzee wa kuchetua
Mimi sio kocha ila ajaribu kufikilia hili basi
HA HA HA ATAPATA TABU SANA