Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Mar 3, 2021 #41 Tangu huyu kocha aanze kikosi chake anachopanga hakijawahi kufanya makosa ya ajabu ajabu.
shungurui JF-Expert Member Joined Sep 1, 2008 Posts 3,765 Reaction score 5,160 Mar 4, 2021 #43 Donnie Charlie said: Tangu huyu kocha aanze kikosi chake anachopanga hakijawahi kufanya makosa ya ajabu ajabu. Click to expand... Yaani we acha tu, bora kishingo aliondoka maana ilikuwa ni pressure tupu,
Donnie Charlie said: Tangu huyu kocha aanze kikosi chake anachopanga hakijawahi kufanya makosa ya ajabu ajabu. Click to expand... Yaani we acha tu, bora kishingo aliondoka maana ilikuwa ni pressure tupu,
Okoth p'Bitek JF-Expert Member Joined Jan 11, 2019 Posts 1,124 Reaction score 1,384 Mar 4, 2021 #44 Mr protocol said: Na mimi naongezea swali!! Ikitokea makipa wote wakapewa kadi nyekundu hivi kocha wa makipa anaruhusiwa kuingia kudaka? Click to expand... Anaingia mchezaji wa ndani golini
Mr protocol said: Na mimi naongezea swali!! Ikitokea makipa wote wakapewa kadi nyekundu hivi kocha wa makipa anaruhusiwa kuingia kudaka? Click to expand... Anaingia mchezaji wa ndani golini
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,524 Reaction score 5,731 Mar 4, 2021 #45 Mr protocol said: Yani unamchukua Ajibu alafu unamuacha mzee wa kuchetua Mimi sio kocha ila ajaribu kufikilia hili basi Click to expand... Tatizo nidhamu, na uwanjani dk zake ni 20-30 zaidi ya hapo hawezi kutokana na experience ya mechi alizocheza.
Mr protocol said: Yani unamchukua Ajibu alafu unamuacha mzee wa kuchetua Mimi sio kocha ila ajaribu kufikilia hili basi Click to expand... Tatizo nidhamu, na uwanjani dk zake ni 20-30 zaidi ya hapo hawezi kutokana na experience ya mechi alizocheza.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Mar 4, 2021 #46 Lupweko said: View attachment 1716751 Click to expand... HA HA HA ATAPATA TABU SANA