Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC kinachosafiri kuelekea DR Congo kuwakabili AS Vita Club

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC, ambacho kinasafiri leo Jumanne saa kumi Alasiri, January 9, 2021 kuelekea nchini DR Congo kwa ajili ya mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika dhidi ya AS Vita Club, February 12, 2021.

Kikosi hicho cha Simba SC, kitaendelea kumkosa Nahodha wake John Bocco ambaye ni majeruhi na Perfect Chikwende ambaye usajili wake ni kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania VPL na FA, kwa vile sheria ya Caf haimruhusu kucheza timu mbili tofauti kwasababu alicheza Klabu Bingwa Afrika akiwa Platinum FC ya Zimbabwe.

Kila la heri Simba SC Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji.

FB_IMG_1612811467574.jpg
 
Taifa linaenda KUAIBIKA....tena safari hii wanaopiaibisha TAIFA ni raia wa nchi nyingine.....NYUMBU....MUGALU.....CHAMA... MASKWINI...BABU
Simba inapanda ndege kwenda kucheza mechi za kimataifa.
Nyinyi nendeni Kidimbwi mkakae kwenye maji vyura nyinyi"visit kidimbwi"
 
Kila la kheri Mnyama, naitakia ushindi mnono ugenini.

AS Vita ya sasa bila ya kina Tonombo na Tuisila inakuwa na uwezo sawa na Singida Utd tu.
 
Kila la kheri tunasubiri khamsa khamsa [emoji1787][emoji28][emoji1][emoji3][emoji23]
Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC, ambacho kinasafiri leo Jumanne saa kumi Alasiri, January 9, 2021 kuelekea nchini DR Congo kwa ajili ya mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika dhidi ya AS Vita Club, February 12, 2021.

Kikosi hicho cha Simba SC, kitaendelea kumkosa Nahodha wake John Bocco ambaye ni majeruhi na Perfect Chikwende ambaye usajili wake ni kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania VPL na FA, kwa vile sheria ya Caf haimruhusu kucheza timu mbili tofauti kwasababu alicheza Klabu Bingwa Afrika akiwa Platinum FC ya Zimbabwe.

Kila la heri Simba SC Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji.

View attachment 1697997
 
Back
Top Bottom