Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC, ambacho kinasafiri leo Jumanne saa kumi Alasiri, January 9, 2021 kuelekea nchini DR Congo kwa ajili ya mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika dhidi ya AS Vita Club, February 12, 2021.
Kikosi hicho cha Simba SC, kitaendelea kumkosa Nahodha wake John Bocco ambaye ni majeruhi na Perfect Chikwende ambaye usajili wake ni kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania VPL na FA, kwa vile sheria ya Caf haimruhusu kucheza timu mbili tofauti kwasababu alicheza Klabu Bingwa Afrika akiwa Platinum FC ya Zimbabwe.
Kila la heri Simba SC Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji.