Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC kinachosafiri kuelekea DR Congo kuwakabili AS Vita Club

Kila la kheri Mabingwa wa Tanzania[emoji881]
 
Hivi kulikuwa na haja gani ya kumsajili Chikwende? tena kwa ajili ya mechi za ligi tu? Mudi anapigwa sana!
 
Kocha amesema kabla ya timu kuondoka ilicheza mechi na timu ya vijana Nyoni alionekana yupo vizuri lakini Mkude bado hajawa fit hivyo atatumika kwenye mechi na as vita
 
Chikwende mbona hayupo hii imekaaje wadau
 
Kitu ambacho nimefurahi kwa statement aliyoitoa kocha, naona aligundua kosa ambalo alilifanya kuhusu defence, kwa jinsi simba ilivyokua inazuia mechi na Azamu hata kama beki wa kiwango gani ni rahisi sana kufungwa ukikuta washambuliaji wanaojua kukimbia nyuma ya safu ya ulinzi.
Nimemsikia Leo kocha akisema tutajaribu kufunga space kwenye defence, hilo ndio mi niliona ilitugharimu dhidi ya Azamu.
Hiki kitu kilikua kinamtesa sana Pep, lakini nimeona game dhidi ya Liverpool City wameiprove sana kwenye defence, hukuti space kati ya beki na beki afu ukuti space kati beki na viungo wakabaji.
Goli la kwanza la Azamu unaweza ukamsifu Nado, ila Dube ndio alikua killer, angalia alipokua ameupokelea mpira aliupokea mpira kati ya beki line na kiungo mkabaji, hiyo ilikua mbaya sana maana beki unakua unaulizwa maswali mawili,Either umfuate Dube au Nado anaekimbia kwenye space.
So, nafikiri akifanikiwa kupuguza space wakati wa kudefence, tutakua na matokeo mazuri huko Kongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…