permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ule muda wa kukalia mfululuzo umerudiSimba inapanda ndege kwenda kucheza mechi za kimataifa.
Nyinyi nendeni Kidimbwi mkakae kwenye maji vyura nyinyi"visit kidimbwi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule muda wa kukalia mfululuzo umerudiSimba inapanda ndege kwenda kucheza mechi za kimataifa.
Nyinyi nendeni Kidimbwi mkakae kwenye maji vyura nyinyi"visit kidimbwi"
"Mfululuzo"!!!Ule muda wa kukalia mfululuzo umerudi
hakuna timu yoyote ya Africa iliyowahi kuchukua kombe la Dunia na watu wanaomba toka lilipoanzishwa 1930 sBahati itakua kwetu na Mungu wa Ibrahim, Isacka na Yakobo atajibu maombi yetu.
Wanaoaibisha taifa ni wale wanaokopa wachezaji wao halafu wanakataa kulipa hadi wanafungiwaTaifa linaenda KUAIBIKA tena safari hii wanaopiaibisha TAIFA ni raia wa nchi nyingine.....NYUMBU....MUGALU.....CHAMA... MASKWINI...BABU
Ipo siku maombi yatajibiwa.hakuna timu yoyote ya Africa iliyowahi kuchukua kombe la Dunia na watu wanaomba toka lilipoanzishwa 1930 s
Labda Wazungu waache mpira au sisi tushiriki wenyeweIpo siku maombi yatajibiwa.
Vyote ni sawa tu,ila majibu yatapatikana.Labda Wazungu waache mpira au sisi tushiriki wenyewe
Simba wa yuda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]@Tate Mkuu hao wamezoea uchawi. Ona alichokiongea Mwina Kaduguda. View attachment 1698209
Yule anaweza atatumika hata mwakani,Hivi kulikuwa na haja gani ya kumsajili Chikwende? tena kwa ajili ya mechi za ligi tu? Mudi anapigwa sana!
Kwani kasainishwa mkataba wa kipindi cha muda gani?Yule anaweza atatumika hata mwakani,
😂😂😂😂🐈Msisahau kubeba manyau yenu
Tutabeba manyani maana ni chakula pendwa CongoMsisahau kubeba manyau yenu