MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
🤣🤣🤣🤣 Tumekusikia tutapanga icho kikosi chako pendwa,,wala usijaliFIRST ELEVEN tunayoitaka icheze Kesho
1. Msheri
2. Shomary
3. Yassin
4. Job
5. Shaibu
6. Mauya
7. Kaseke
8. Mapinduzi
9. Ushindi
10. Makambo
11. Ambundo
Tafadhali sana Uongozi wa Yanga SC Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu hapa JamiiForums wakiongozwa na Mimi MINOCYCLINE tunataka Kesho kipangwe Kikosi hiki tu na hatutaki mkibadilishe kwa sasa Yanga SC nzima Wachezaji wazuri ni hawa niliowataja hapa na waliobakia ( nisiowataja ) ndiyo Wabovu kabisa, hawatufai na ikiwezekana tuwateme ( tuwaache ) kabisa mwisho wa Msimu.
Kwa hii simba inayotegemea uchawi wa kuchoma makaratasi uwanjani! kwa kikosi hiki, bado watakalishwa tu.FIRST ELEVEN tunayoitaka icheze Kesho
1. Msheri
2. Shomary
3. Yassin
4. Job
5. Shaibu
6. Mauya
7. Kaseke
8. Mapinduzi
9. Ushindi
10. Makambo
11. Ambundo
Tafadhali sana Uongozi wa Yanga SC Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu hapa JamiiForums wakiongozwa na Mimi MINOCYCLINE tunataka Kesho kipangwe Kikosi hiki tu na hatutaki mkibadilishe kwa sasa Yanga SC nzima Wachezaji wazuri ni hawa niliowataja hapa na waliobakia ( nisiowataja ) ndiyo Wabovu kabisa, hawatufai na ikiwezekana tuwateme ( tuwaache ) kabisa mwisho wa Msimu.
HIKI NI KIKOSI CHA PILI TUNAWEKA MZIKI WETU KIKOSI CHA KWANZAFIRST ELEVEN tunayoitaka icheze Kesho
1. Msheri
2. Shomary
3. Yassin
4. Job
5. Shaibu
6. Mauya
7. Kaseke
8. Mapinduzi
9. Ushindi
10. Makambo
11. Ambundo
Tafadhali sana Uongozi wa Yanga SC Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu hapa JamiiForums wakiongozwa na Mimi MINOCYCLINE tunataka Kesho kipangwe Kikosi hiki tu na hatutaki mkibadilishe kwa sasa Yanga SC nzima Wachezaji wazuri ni hawa niliowataja hapa na waliobakia ( nisiowataja ) ndiyo Wabovu kabisa, hawatufai na ikiwezekana tuwateme ( tuwaache ) kabisa mwisho wa Msimu.
Umekabwa na kinyesi cha kipoter potty.FIRST ELEVEN tunayoitaka icheze Kesho