Kikosi cha Yanga siku ya derby ya Kariakoo June 15

Kikosi cha Yanga siku ya derby ya Kariakoo June 15

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Tusikose mechi ya kukata na shoka
Kikosi cha Yanga
1. Wallace Karia
2. Steven Mguto
3.Wilfred Kidau
4.Athman Nyamlani
5. Msafiri Mgoi
6 Karim Boimanda
7. Salum Madadi
8 Mangungu
9 Baraka Kizuguto
10 Almas Kasongo
11. Jemadari Said

Waamuzi
1 Tatu Malogo
2 Kefa Kyombo
3 Japhet Smart
4 Abdallah Kambuzi

Kila la heri
 
Tusikose mechi ya kukata na shoka
Kikosi cha Yanga
1. Wallace Karia
2. Steven Mguto
3.Wilfred Kidau
4.Athman Nyamlani
5. Msafiri Mgoi
6 Karim Boimanda
7. Salum Madadi
8 Mangungu
9 Baraka Kizuguto
10 Almas Kasongo
11. Jemadari Said

Kila la heri
Mbona watendaji wengi wa hiyo bodi wana majina yanayoishia na uto? Kuna siri gani kwenye hilo?
 
Usisahau pia waamuzi wa huo mchezo watakuwa ni Tatu Malogo, Japhet Smart, Kepha Kayombo, na yule mwamuzi msaidizi wa pembeni mwenye kadi ya uanachama wa simba kama ilivyo kwa hao wengine niliowataja hapo juu.
 

Attachments

  • FB_IMG_17465717404641166.jpg
    FB_IMG_17465717404641166.jpg
    273.8 KB · Views: 41
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
JamiiForums-312072181.jpeg

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
 
simba ni bingwa msimu huu.
this time mmekanyaga moto.
Kwa kuwa FAT inawapendelea Na iwe hivyo. Eti nyie ni timu namba nne bora africa. Nne bora my foot!

PS
Tunajua yanga kuishia makundi ni kwa sababu ya fitna za FAT. Kombe la cafcl mbona tungebeba mwaka huu.
 
Jamii Forum The home Of Great thinker.

Jamii Forum ilikuwa ni sehemu ya kupata maarifa, Elimu, Ujuzi, utaalam mawazo mbadala nk.

Leo JF imekuwa sehemu ya Mizaha ya simba na Yanga.

NB.
Jukwaa la Michezo si Jukwaa la Utani na Ujinga wa Simba na Yanga.

LONG LIVE JF
 
Back
Top Bottom