Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,302
lakin ni Jukwaa la michezoJamii Forum The home Of Great thinker.
Jamii Forum ilikuwa ni sehemu ya kupata maarifa, Elimu, Ujuzi, utaalam mawazo mbadala nk.
Leo JF imekuwa sehemu ya Mizaha ya simba na Yanga.
Utoto na Ujinga Mwingi.
LONG LIVE JF