Tutacheza lakini na kikosi tajwa hapo juu.Hii mechi mnata au hamtaki lazima mcheze.
Hii mechi mnata au hamtaki lazima mcheze.
Mabaunsa bado wapo mtakimbia tenaHii mechi mnata au hamtaki lazima mcheze.
Mtasubiri sana.Hii mechi mnata au hamtaki lazima mcheze.
KayokoHakuna subs;
keffa kayombo, tatu malogo, na mungine nani yule......?
Usinipotoshe we kolo! mi namzungumzia yule jina lake kama sio smart kiswaswadu basi smart tv ya chogo.Kayoko
Mbona watendaji wengi wa hiyo bodi wana majina yanayoishia na uto? Kuna siri gani kwenye hilo?Tusikose mechi ya kukata na shoka
Kikosi cha Yanga
1. Wallace Karia
2. Steven Mguto
3.Wilfred Kidau
4.Athman Nyamlani
5. Msafiri Mgoi
6 Karim Boimanda
7. Salum Madadi
8 Mangungu
9 Baraka Kizuguto
10 Almas Kasongo
11. Jemadari Said
Kila la heri
Ubingwa wa mezani wala haunogisimba ni bingwa msimu huu.
this time mmekanyaga moto.
Sawasimba ni bingwa msimu huu.
this time mmekanyaga moto.
Kwa kuwa FAT inawapendelea Na iwe hivyo. Eti nyie ni timu namba nne bora africa. Nne bora my foot!simba ni bingwa msimu huu.
this time mmekanyaga moto.
simba mmemis mshedede wa yanga...mnavyolazimisha!!!Hii mechi mnata au hamtaki lazima mcheze.