Kikosi cha Yanga siku ya derby ya Kariakoo June 15

Jamii Forum The home Of Great thinker.

Jamii Forum ilikuwa ni sehemu ya kupata maarifa, Elimu, Ujuzi, utaalam mawazo mbadala nk.

Leo JF imekuwa sehemu ya Mizaha ya simba na Yanga.
Utoto na Ujinga Mwingi.

LONG LIVE JF
lakin ni Jukwaa la michezo
 
Huyu Wallace Karia ana injury ya kifundo Cha mguu, sidhani kama atakuwa ameshapona!
 
Mashabiki mbumbumbu watakuwa SUB
 
Maana ya kushindana ipo wapi? Unadhani mlichangia kwa kupenda??? Mlizidiwa kila idara ndo maana mkaachia.
Sasa kama mnaweza kushindana why hamtaki kucheza mechi mnataka point 3 za bure bure😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…