Kikosi cha Yanga siku ya derby ya Kariakoo June 15

Sasa kama mnaweza kushindana why hamtaki kucheza mechi mnataka point 3 za bure bure๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unajitoa akili. Sabau ni upumbavu wenu na bodi yenu ya ligi. kwani tarehe nane mlifanya nini?
 
Sasa kama mnaweza kushindana why hamtaki kucheza mechi mnataka point 3 za bure bure๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mechi ilikuwa march 8
Hii ratiba mpya haituhusu
Ndo maana kama bodi ya ligi walimficha mpinzani walete points 3, kwanini wamfiche mpinzani siku ya mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ