Kikosi changu cha kwanza msimu unaomalizika kesho bongo

Kikosi changu cha kwanza msimu unaomalizika kesho bongo

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
1. Diarra kipa wa Yanga
2. Kevin Kijir wa Singida
3.Tshabalala Simba
4.Ibrahim Bacca Yanga
5. Che Fondoh Malone
6.Kevin Nashon Ihefu
7.Kibu Dennis Simba
8. Najim Magulu Tabora United
9.Feitoto azam
10.Aziz Ki
11.Kipre Junior
 
1. Diarra kipa wa Yanga
2. Kevin Kijir wa Singida
3.Tshabalala Simba
4.Ibrahim Bacca Yanga
5. Che Fondoh Malone
6.Kevin Nashon Ihefu
7.Kibu Dennis Simba
8. Najim Magulu Tabora United
9.Feitoto azam
10.Aziz Ki
11.Kipre Junior
Kuna ma-Cihara na Ma-Beyonce, haya ndiyo masihara sasa, Kibudenga ana goli 1 NBC PL 2023/2024 hamkuti hata Guede, au ndiyo dishi limeyumba Ndugu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
1. Diarra kipa wa Yanga
2. Kevin Kijir wa Singida
3.Tshabalala Simba
4.Ibrahim Bacca Yanga
5. Che Fondoh Malone
6.Kevin Nashon Ihefu
7.Kibu Dennis Simba
8. Najim Magulu Tabora United
9.Feitoto azam
10.Aziz Ki
11.Kipre Junior
1. Diarra kipa wa Yanga✅
2. Kevin Kijir wa Singida
3.Tshabalala Simba✅
4.Ibrahim Bacca Yanga✅
5. Che Fondoh Malone
6.Kevin Nashon Ihefu
7.Kibu Dennis Simba
8. Najim Magulu Tabora United
9.Feitoto azam✅
10.Aziz Ki✅
11.Kipre Junior
Wengine sijui mie!!!
 
Dickson Job anawekwa bench na Che Marlone Fondo?
 
1. Diara
2. Yao
3. Shabalala
4. Bacca
5. Che Malone
6. Aucho
7. Kipre
8. Mudathir
9. Fei
10. Aziz
11. Max

Sub
1. Ley Matampi
2. Kelvin
3. Yahya Mbegu
4. Job
5.Lawi
6. Ngoma
7. Sopu
8. Kanoute
9. Waziri Junior
10. Chama
11. Saido
 
Hapo kwa Najeem nahisi utakuwa ulishaucheza mpira kwa mafanikio au unafatilia na unajua boli.What a player!
 
Huyu Najeem, wananchi tunatakiwa tuhakikishe anakuja jangwani, ni mtu sana... tangu wakati ule wa ligi za shule, ligi za mkoa pale manyara... Ni mtu sana
 
Huyu Najeem, wananchi tunatakiwa tuhakikishe anakuja jangwani, ni mtu sana... tangu wakati ule wa ligi za shule, ligi za mkoa pale manyara... Ni mtu sana
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Hapo kwa Najeem nahisi utakuwa ulishaucheza mpira kwa mafanikio au unafatilia na unajua boli.What a player!
Najim ni silent killer ni anashika kiungo halafu haongei
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
1. Diarra kipa wa Yanga
2. Kevin Kijir wa Singida
3.Tshabalala Simba
4.Ibrahim Bacca Yanga
5. Che Fondoh Malone
6.Kevin Nashon Ihefu
7.Kibu Dennis Simba
8. Najim Magulu Tabora United
9.Feitoto azam
10.Aziz Ki
11.Kipre Junior
Mechi ninazoziangalia ni azam, yanga na simba kwaiyo siwezi comment kuhusu hao wachezaji wa timu zingine ila hapo kwa kibu na malone hapana. Hata simba na yanga tu zikitoa combine hao wawili hawapati namba.
 
Huyu Najeem, wananchi tunatakiwa tuhakikishe anakuja jangwani, ni mtu sana... tangu wakati ule wa ligi za shule, ligi za mkoa pale manyara... Ni mtu sana
Akacheze namba ya nani pale Yanga? Huyo ni mchezaji wa timu za daraja la kati.
 
Ilitakiwa uchukue kikosi kizima cha Yanga hao wengine wawe reserve mzee wangu
 
Back
Top Bottom