Huwezi kukuzwa kwa kukaa benchiTumkuze tu bado mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kukuzwa kwa kukaa benchiTumkuze tu bado mdogo
Kuna mechi ndogo ndogo za kucheza kama wonder kid anavofanyiwaHuwezi kukuzwa kwa kukaa benchi
Tena goli moja kwenye mechi nyingi, na kapitwa na Guede wa dirisha dogoKuna ma-Cihara na Ma-Beyonce, haya ndiyo masihara sasa, Kibudenga ana goli 1 NBC PL 2023/2024 hamkuti hata Guede, au ndiyo dishi limeyumba Ndugu?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kwani wakina sure boy walianzaje.?Akacheze namba ya nani pale Yanga? Huyo ni mchezaji wa timu za daraja la kati.