Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kuna ma-Cihara na Ma-Beyonce, haya ndiyo masihara sasa, Kibudenga ana goli 1 NBC PL 2023/2024 hamkuti hata Guede, au ndiyo dishi limeyumba Ndugu?1. Diarra kipa wa Yanga
2. Kevin Kijir wa Singida
3.Tshabalala Simba
4.Ibrahim Bacca Yanga
5. Che Fondoh Malone
6.Kevin Nashon Ihefu
7.Kibu Dennis Simba
8. Najim Magulu Tabora United
9.Feitoto azam
10.Aziz Ki
11.Kipre Junior
1. Diarra kipa wa Yanga✅1. Diarra kipa wa Yanga
2. Kevin Kijir wa Singida
3.Tshabalala Simba
4.Ibrahim Bacca Yanga
5. Che Fondoh Malone
6.Kevin Nashon Ihefu
7.Kibu Dennis Simba
8. Najim Magulu Tabora United
9.Feitoto azam
10.Aziz Ki
11.Kipre Junior
Najim ni silent killer ni anashika kiungo halafu haongeiHapo kwa Najeem nahisi utakuwa ulishaucheza mpira kwa mafanikio au unafatilia na unajua boli.What a player!
Yupo hivyo kitambo sana, jamaa wakati yupo kidato cha pili tu, alikuwa anatumika kwenye game za wakubwa kwenye ligi za mkoaNajim ni silent killer ni anashika kiungo halafu haongei
Na pacome,YaoKama Aucho hayupo futa hiyo list.
Mechi ninazoziangalia ni azam, yanga na simba kwaiyo siwezi comment kuhusu hao wachezaji wa timu zingine ila hapo kwa kibu na malone hapana. Hata simba na yanga tu zikitoa combine hao wawili hawapati namba.1. Diarra kipa wa Yanga
2. Kevin Kijir wa Singida
3.Tshabalala Simba
4.Ibrahim Bacca Yanga
5. Che Fondoh Malone
6.Kevin Nashon Ihefu
7.Kibu Dennis Simba
8. Najim Magulu Tabora United
9.Feitoto azam
10.Aziz Ki
11.Kipre Junior
Akacheze namba ya nani pale Yanga? Huyo ni mchezaji wa timu za daraja la kati.Huyu Najeem, wananchi tunatakiwa tuhakikishe anakuja jangwani, ni mtu sana... tangu wakati ule wa ligi za shule, ligi za mkoa pale manyara... Ni mtu sana
Tumkuze tu bado mdogoAkacheze namba ya nani pale Yanga? Huyo ni mchezaji wa timu za daraja la kati.