N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 May 28, 2024 #21 kingkimwe said: Tumkuze tu bado mdogo Click to expand... Huwezi kukuzwa kwa kukaa benchi
kingkimwe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 1,839 Reaction score 2,481 May 28, 2024 #22 nguvu said: Huwezi kukuzwa kwa kukaa benchi Click to expand... Kuna mechi ndogo ndogo za kucheza kama wonder kid anavofanyiwa
nguvu said: Huwezi kukuzwa kwa kukaa benchi Click to expand... Kuna mechi ndogo ndogo za kucheza kama wonder kid anavofanyiwa
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 May 28, 2024 #23 Interlacustrine R said: Kuna ma-Cihara na Ma-Beyonce, haya ndiyo masihara sasa, Kibudenga ana goli 1 NBC PL 2023/2024 hamkuti hata Guede, au ndiyo dishi limeyumba Ndugu? Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work. Click to expand... Tena goli moja kwenye mechi nyingi, na kapitwa na Guede wa dirisha dogo
Interlacustrine R said: Kuna ma-Cihara na Ma-Beyonce, haya ndiyo masihara sasa, Kibudenga ana goli 1 NBC PL 2023/2024 hamkuti hata Guede, au ndiyo dishi limeyumba Ndugu? Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work. Click to expand... Tena goli moja kwenye mechi nyingi, na kapitwa na Guede wa dirisha dogo
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,310 Reaction score 5,482 May 28, 2024 #24 The Wing said: Akacheze namba ya nani pale Yanga? Huyo ni mchezaji wa timu za daraja la kati. Click to expand... Kwani wakina sure boy walianzaje.?
The Wing said: Akacheze namba ya nani pale Yanga? Huyo ni mchezaji wa timu za daraja la kati. Click to expand... Kwani wakina sure boy walianzaje.?