Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo UKUTA wa yericko sijaona wa kumnyang'anya namba.1. Mousa Kamala(Simba)
2.Yao Kouassi Attohoula (Yanga)
3. Paschal Msindo(Azam)
4. Abdulazak Hamza(Simba)
5 Ibrahim Bacca (Yanga)
6. Nelson Munganga (Tabora United)
7. Pacome Zouzou (Yanga)
8. Marouf Tchakei(Singida BS)
9. Elvis Rupia(Singida BS)
10. Feisal Salum (Azam)
11. Max Nzengeli (Yanga)
Kwa hii timu Yangu round ya Kwanza hakuna timu ya kunifunga
Leta first 11 yako
Simba ndiyo timu iliyofungwa magoli machache kuliko zote ila cha ajabu kuanzia beki hadi kiungo ina mchezaji mmoja.Hapo UKUTA wa yericko sijaona wa kumnyang'anya namba.
CHE MALONE
Aisome ngara23Simba ndiyo timu iliyofungwa magoli machache kuliko zote ila cha ajabu ina beki na kiungo mmoja.
Che Malon sio beki mzuriNa Tabora ni moja ya timu zilizofungwa magoli mengi kuliko zote ila ameona ni heri akamchukue kiungo wao mkabaji kuliko kina Okajepha, Ngoma na Kagoma.
Shiii, afadhali basi umsogeze Hamza namba 6 halafu Che Malone acheze na Bacca.
Mpira usipozingatia takwimu lazima utaendeshwa na ushabiki. Hauwezi kufumbia macho takwimu za Ahoua hata kama hana tuvituvitu. Huyo Munganga hata kama ni mzuri, takwimu za timu yake zinamuangusha hasa kwa nafasi unayomsifia nayo. Labda umuweke kama mchezaji wa akiba katika hiyo X1 yako.Che Malon sio beki mzuri
Hiki kikosi hakina ushabiki
Mpira sio takwimu ulizozioea wwMpira usipozingatia takwimu lazima utaendeshwa na ushabiki. Hauwezi kufumbia macho takwimu za Ahoua hata kama hana tuvituvitu. Huyo Munganga hata kama ni mzuri, takwimu za timu yake zinamuangusha hasa kwa nafasi unayomsifia nayo. Labda umuweke kama mchezaji wa akiba katika hiyo X1 yako.
Hata huyo Munganga msimu ujao anaweza kwenda Simba au Yanga ila haimfanyi kuwa bora sasa hivi kuzidi hao wengine. Hao wote kina Bacca, Job, si wametoka timu ndogo wamekuja kujenga majina wakiwa Yanga?Mpira sio takwimu ulizozioea ww
Kuna mabeki wameruhusu goli nyingi lakini ni kati ya mabeki wazuri
Ndo maana Aaron Ramsale alitoka Shelfild iliyoshuka daraja akaja Arsenal
Sasa wewe hoja yako si unasema eti nichukue Che maloni kisa timu yake imeruhusu goli chacheHata huyo Munganga msimu ujao anaweza kwenda Simba au Yanga ila haimfanyi kuwa bora sasa hivi kuzidi hao wengine. Hao wote kina Bacca, Job, si wametoka timu ndogo wamekuja kujenga majina wakiwa Yanga?
Takwimu ndiyo kipengele cha kwanza na cha mwisho unapoangalia ubora wa mchezaji, kuanzia takwimu zake binafsi hadi za timu anayochezea.
Kwa lengo la kuangalia kikosi bora cha mashindano husika ni lazima uangalie takwimu za mchezaji husika na mchango wake katika timu yake KATIKA MASHINDANO HAYO. Mambo ya kusajiliwa mbele ya safari au alipotoka hayahusiani na lengo ulilokusudia.Sasa wewe hoja yako si unasema eti nichukue Che maloni kisa timu yake imeruhusu goli chache
Munganga kacheza As Vita sio mchezaji mdogo
We unasema beki mzuri anapimwa Kwa kutokuruhusu magoli mengi me nasema hapanaKwa lengo la kuangalia kikosi bora cha mashindano husika ni lazima uangalie takwimu za mchezaji husika na mchango wake katika timu yake KATIKA MASHINDANO HAYO. Mambo ya kusajiliwa mbele ya safari au alipotoka hayahusiani na lengo ulilokusudia.
Hilo hakuna anayepinga na mimi nikamwambia hata hao kina Job na Bacca wametoka timu ndogo ambazo kwa tafsiri ya haraka zilikuwa zinaruhusu magoli mengi. Lakini siyo lengo la huu uzi. Lengo la huu uzi ni kuangalia kikosi bora cha msimu siyo kuangalia nani anaweza baadae kusajiliwa timu kubwa.We unasema beki mzuri anapimwa Kwa kutokuruhusu magoli mengi me nasema hapana
Beki anaweza kuwa mzuri na timu ikaruhusu magoli mengi
Chikola umemuacha1. Mousa Kamala(Simba)
2.Yao Kouassi Attohoula (Yanga)
3. Paschal Msindo(Azam)
4. Abdulazak Hamza(Simba)
5 Ibrahim Bacca (Yanga)
6. Nelson Munganga (Tabora United)
7. Pacome Zouzou (Yanga)
8. Marouf Tchakei(Singida BS)
9. Elvis Rupia(Singida BS)
10. Feisal Salum (Azam)
11. Max Nzengeli (Yanga)
Kwa hii timu Yangu round ya Kwanza hakuna timu ya kunifunga
Leta first 11 yako
😅🤣Tulia koloHilo hakuna anayepinga na mimi nikamwambia hata hao kina Job na Bacca wametoka timu ndogo ambazo kwa tafsiri ya haraka zilikuwa zinaruhusu magoli mengi. Lakini siyo lengo la huu uzi. Lengo la huu uzi ni kuangalia kikosi bora cha msimu siyo kuangalia nani anaweza baadae kusajiliwa timu kubwa.
Nitawaacha wengine wakueleweshe maana siwezi kuingia 2025 huku nikiwa nabishana na mtu mwenye ubongo wa jongoo.
Kuwafunga utopolo tuu chap amwitwa Team ya Taifa.Nae milimsahau
Toa hiyo spider wa kudaka mipira ya nje weka Djigue diarra, Toa hiyo Paschal msindo tia Chadrack Boka, Toa hiyo Abdurazak sijui nani hana hata medali ya caf, tia Dickson Job, toa hiyo Nelson Muganga anajua kukamia mechi za Yanga tu, weka Khalid Aucho, toa hiyo Marouf tchakei weka Mudathir Yahya, toa Elvis rupia weka Clement Mzize, Toa hiyo takataka Feisal salum tia Aziz Ki1. Mousa Kamala(Simba)
2.Yao Kouassi Attohoula (Yanga)
3. Paschal Msindo(Azam)
4. Abdulazak Hamza(Simba)
5 Ibrahim Bacca (Yanga)
6. Nelson Munganga (Tabora United)
7. Pacome Zouzou (Yanga)
8. Marouf Tchakei(Singida BS)
9. Elvis Rupia(Singida BS)
10. Feisal Salum (Azam)
11. Max Nzengeli (Yanga)
Kwa hii timu Yangu round ya Kwanza hakuna timu ya kunifunga
Leta first 11 yako
Umeona aibu kumuweka Ahoua1. Mousa Kamala(Simba)
2.Yao Kouassi Attohoula (Yanga)
3. Paschal Msindo(Azam)
4. Abdulazak Hamza(Simba)
5 Ibrahim Bacca (Yanga)
6. Nelson Munganga (Tabora United)
7. Pacome Zouzou (Yanga)
8. Marouf Tchakei(Singida BS)
9. Elvis Rupia(Singida BS)
10. Feisal Salum (Azam)
11. Max Nzengeli (Yanga)
Kwa hii timu Yangu round ya Kwanza hakuna timu ya kunifunga
Leta first 11 yako