Kikosi changu cha kwanza, round ya kwanza msimu huu

Hakuna beki Bora kwenye hii ligi kama Bacca
Yao upande beki wa kushoto ni best ana kila kitu
Kama humjui Max Kamuulize Chasambi
Ngoma sawa Yuko vizuri ila sio mkabaji mzuri kama Nelson Munganga fuatilia Munganga ni best
Ahoua siyo mchezaji mzuri acha ushabiki, ubora katika penalties, huyo mchezaji ni Zoro Zoro amelegea kama mlenda
Ahoua sio mchezaji nzuri kivipi...?
Mchezaji anaongoza Kwa takwimu wewe unaandika kitu Gani? Au unataka apige dobo ndio utamuona wa maana..cole palmer unajua anapiga penati zakutosha lakini anakubalika sana Chelsea..
Kwa taarifa Yako Ahoua atakuwa MVP Kwa takwimu sio madobo na vichenga uchwara kama morisoni..
 
Nitawafindisha mpaka lini
Hizo sio takwimu za kiungo Bora
Huwa tunatazama
Skills
Pace
Tackling
Kupiga vichwa
Assists
Ball brain
Nguvu
Nampigia huyo wa kuregea wako ana sifa gani
 
Niambie anawezaje kufikisha goli G/A 12 zaidi ya wachezaji wengi bila vigezo..
Kumbuka Ahoua ndie mchezaji mwenye influence kubwa uwanjani kuliko wachezaji wako wa tobo na chenga..skills za kutosha..au kwako ball brain ni chenga..?
Kwa sasa chenga za akina Runyamila zimepitwa na wakati..
Eti tackling..playmaker na tackling wapi na wapi..unataka kusema ozil alikuwa anapiga tackling Gani?
 
Pale Kwa Ahoua yule hamna kitu, Kwa kuwa nyie mbumbumbu mnatazama mpira kishabiki
 
Back
Top Bottom