Dunia inaenda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao huenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakachotokea.
Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi asipodhibitiwa kitakachofuwata kitakuwa ni kibaya sana.
Kwa kuona hili mataifa yenye nguvu duniani ya kiuchumi na silaha wameona ni Bora watu kadhaa wafe kwa ajili ya usalama wa Dunia kuliko kuacha mambo yaende kama yanavyoenda sasa.
Mataifa matatu ikiwemo Russia, China na Iran ndio kitisho cha amani ya Dunia na wasipodhibitiwa sasa wanaweza kuleta vita ya tatu ya Dunia vita itakayoacha mataifa tajiri miji yao walioitengeneza kwa miaka mia kadhaa kuwa ktk mavumbi.
Ili kuiokoa Dunia na kitisho hicho CIA akishirikiana na mataifa rafiki wamekuwa wakifanya kazi ngumu ya kuweza fanikisha mission ya kuwa-eliminate three head ktk hali ambayo hakuna anaweza kufikiri au kuiwaza.
Simu ya mwisho ya Rais mmoja wa bara ya Amerika kwa rafiki yake wa karibu sana Putin ndio chanzo cha siri cha vita ya kisasi inaendelea.
Kiongozi huyu alisifika sana bara Amerika akiwakosesha usingizi USA na Vyombo vyake vya ulinzi na ndipo majasusi hatari kutoka ktk kikosi kisichojulikana walifanikisha kumdondosha Mwamba ila mwamba before die alimtonya rafiki wake Pete na kidole "Rafiki yangu Putin mimi muda wowote nitaaga Dunia ila nataka kukuthibitishia kifo changu aliekitengeneza ni Marekani" number one down.
Putin hakuamini alichoambiwa mpaka alipokuja shituka kwenye COVID 19. Akiwa ameshashtuka time was not on his side. Jamaa walisha maliza kazi.
Simu ya rafiki mkubwa wa Putin na kile alikutana nacho ilimfanya Mwamba kusema kama bwai na iwe mbwai shida inakuja hawezi kutangazia umma nini jamaa wamemfanyia and why anataka kuipindua Dunia kwa kazi iliyofanywa kwa ustadi na idara zisizojulika.
Ni ukweli usiopingika wala kufichika Mataifa ya Dunia ya kwanza wanajua Rais Putin atazima muda na wakati Dunia haitoamini. Ila sasa muda wa eng kuzima na mipango ya huyu bwana imeibuka na plan B.
Plan B ni mataifa yenye nguvu kuunda most lethal unity ya watu 500 to 1000. Hiki kikosi kitasheheni viumbe hatari kuwahi kuumbwa na Mungu. Hiki kikosi hatari kitafanya kazi independent under one command unity with full mandates to eliminate those on the list. Hii unity kazi yake ni kufa na kupona but very silent.