Punguza muda wako kwenye hizo Holwood movies. Tishio la dunia ni NATO na westerners na siyo hizo nchi tatu ulizotaja.
NATO na Marekani na westerners wanahisi wao ndiyo wenye haki ya kuset standard ya maisha kwenye huu ulimwengu, wanaweza kujiamulia kukuita wewe ni gaidi au siyo gaidi. Mfano Walisema Isis ni magaidi but Leo hii ISIS wanapigana vita Ukrain upande wa Zelensk but wamekata kimya hawasemi chochote. Urusi ni nchi ambayo inataka kuondoa huo ujinga wa white supremacy kwemye huu ulimwengu, wa kuwafanya nchi fulani ni Bora kuliko nyingine, ndiyo maana anaonekana ni adui wa usalama wa dunia.
Danish Media Shows Ukrainian Fighter Wearing ISIS Insignia
A Danish media outlet has shown a Ukrainian commander, identified as Kurt, wearing a Daesh arm patch during an interview – the same one used by the Islamic State terrorist organization in the Middle East.
Meanwhile, the latest Russian intelligence statement said the US is training radicals from Daesh to conduct attacks in Russia and other former Soviet countries.
RT hears from journalist and author Daniel Lazare, who says the US will continue to support extremist forces worldwide, particularly in Ukraine, as long as it’s in Washington’s interests.
Subscribe to RT
View attachment 2524263