Kikosi hatari cha majasusi na makomando watakaoiangusha Serikali ya Russia

hoja yako imemezwa na kuzamishwa na mahaba dhidi ya ubeberu,vita hivi sio vigeni vilianza kitambo sana na mmarekani hajawahi kupigania maslahi ya dunia hata siku moja bali yupo kulinda maslahi yake hata kwa gharama ya damu kama alivyowatoa ukraine sadaka,bahati mbaya sana ameshaanza kuzidiwa kete.
 
CHAMA CHA WAPIGA PUNYETO TANZANIA (CHAWAPUTA)
Aliye anzisha thread hii ni member wa chama hicho.
Ah wapi mkuu CHAWAPUTA tupo watu tunaojielewa nikiwemo mimi mjumbe wa mkutano mkuu kutoka kanda ya pwani,, huyu kama ilivyo ada yao pro Ukraine+NATO/USA pasi na shaka atakuwa member wa LGBT 🏳️‍🌈
 
Yani unakaa hapo unakunywa togwa unatarajia Rais wa nchi kama Russia au China auwawe na kakikosi ka watu 500?
Kwanza unajua madhara ya kumuua mkuu wa nchi ambayo hujui ajaye atakuwa na madhara kiasi gani. We mwenyewe ulichoandika hapa hujui ni kitu gani
 
Dunia ina enda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao uwenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakacho tokea.
Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi azipo dhibitiwa kitakacho fuwata kitakuwa nikibaya sana.

Kwa kukuona hili mataifa yenye nguvu duniani ya kiuchumi na silaha wameona ni Bora watu kadhaa wafe kwa ajili ya usalama wa Dunia kuliko acha mambo yaende kama yanavyo enda sasa.

Mataifa matatu ikiwemo Russia, China na Iran ndio kitisho cha amani ya Dunia na wasipo dhibitiwa sasa wanaweza kuleta vita ya tatu ya Dunia vita itakayo acha mataifa tajiri miji yao walio itengeneza kwa miaka mia kadhaa kuwa ktk mavumbi.

Ili kuiokoa Dunia na kitisho hicho CIA akishirikiana na mataifa rafiki wamekuwa wakifanya kazi ngumu yakuweza fanikisha mission yakuwa eliminate three head ktk hali ambayo hakuna anaweza kufikiri au kuiwaza.
Sim ya mwisho ya Rais mmoja wa bara ya Amerika kwa rafiki yake wakaribu sana Putin ndio chanzo cha siri cha vita ya kisasi inaendelea.

Kiongozi huyu alisifika sana bara Amerika akiwakosesha usingizi USA na Vyombo vyake vya ulinzi na ndipo majasusi hatari kutoka ktk kikosi sichojulikana walifanikisha kumdondosha Mwamba ila mwaba before die alimtonya rafiki wake Pete na kidole "Rafiki yangu Putin mm muda wowote ni taaga Dunia ila nataka kukuthibitishia kifo changu alie kutengeneza ni Marekani" number one down.

Putin hakuamini alicho ambiwa mpaka alipokuja shituka kwenye COVID 19.
Akiwa amesha shituka time it was not on his side. Jamaa walisha maliza kazi.
Sim ya rafiki mkubwa wa Putin na kile alikutana nacho ilimfanya Mwamba kusema kama bwai naiwe mbwai shida inakuja hawezi kutangazia umma nn jamaa wamemfanyia and why anataka kuipindua Dunia kwa kazi iliyofanywa kwa ustadi na idarazisizojulika.

Niukweli usio pingika wala kufichika Mataifa ya Dunia ya kwanza wanajuwa Rais Putin atazima muda na wakati Dunia haitoamini. Ila sasa muda wa eng kuzima na mipango ya huyu bwana imeibuka na plan B.

Plan B ni mataifa yenye nguvu kuunda most lethal unity ya watu 500 to 1000.
Hiki kikosi kitasheheni viumbe hatari kuwahi kuumbwa na Mungu. Hiki kikosi hatari kitafanya kazi independence under one command unity with full mandates to eliminate those on the list. Hii unity kazi yake ni kufa na kupona but very silence.
 
Fikiri kukubwa upate maarifa, Russia, China na Iran hazinaga ugomvi na mtu, zipo kulinda mipaka yake na kujikuza kiuchumi, America na washirika wake ndiyo chanzo Cha chokochoko ktk mataifa mengi sana, na ipo siku inakuja America itaangushwa na nchi nyingine itakayo kua imepanga mipango thabiti na nchi hiyo itaibuka kua ndiyo taifa lenye nguvu, na kama si Russia basi ni China
Sasa kweli USA ndio kilanja wa dunia unategemea akae kimya tu?Tatizo lolote duniani linapotokea utasikia yeye ndie wa kwqnza kutoa msaada hao wengine wanakuwa wapi?mashirika yote ya UN yeye ndie mchangiaji mkubwa wa michango,na ndio maana kuwa DG waashirika hayo bila USA,kuunga mkono hupiti!!!ule ushenzi wa ISS,ALKAIDA bila US, ingekuwaje?hao uliowataja hawana msaada mkubwa kwa AFRICA,.US ana mapungufu yake lakini hii dunia ipo ktk usalama huu kutokana na jitihada zake.
 
Umeshawahi kujiuliza ni nani...Muanzilishi na Mfadhili...wa hayo makundi ulioyataja..???...hebu kafanye hiyo hmwork kwanza ...halafu njoo tena umtetee huyo..USA..!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Dunia ina enda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao uwenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakacho tokea.
Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi azipo dhibitiwa kitakacho fuwata kitakuwa nikibaya sana.

Kwa kukuona hili mataifa yenye nguvu duniani ya kiuchumi na silaha wameona ni Bora watu kadhaa wafe kwa ajili ya usalama wa Dunia kuliko acha mambo yaende kama yanavyo enda sasa.

Mataifa matatu ikiwemo Russia, China na Iran ndio kitisho cha amani ya Dunia na wasipo dhibitiwa sasa wanaweza kuleta vita ya tatu ya Dunia vita itakayo acha mataifa tajiri miji yao walio itengeneza kwa miaka mia kadhaa kuwa ktk mavumbi.

Ili kuiokoa Dunia na kitisho hicho CIA akishirikiana na mataifa rafiki wamekuwa wakifanya kazi ngumu yakuweza fanikisha mission yakuwa eliminate three head ktk hali ambayo hakuna anaweza kufikiri au kuiwaza.
Sim ya mwisho ya Rais mmoja wa bara ya Amerika kwa rafiki yake wakaribu sana Putin ndio chanzo cha siri cha vita ya kisasi inaendelea.

Kiongozi huyu alisifika sana bara Amerika akiwakosesha usingizi USA na Vyombo vyake vya ulinzi na ndipo majasusi hatari kutoka ktk kikosi sichojulikana walifanikisha kumdondosha Mwamba ila mwaba before die alimtonya rafiki wake Pete na kidole "Rafiki yangu Putin mm muda wowote ni taaga Dunia ila nataka kukuthibitishia kifo changu alie kutengeneza ni Marekani" number one down.

Putin hakuamini alicho ambiwa mpaka alipokuja shituka kwenye COVID 19.
Akiwa amesha shituka time it was not on his side. Jamaa walisha maliza kazi.
Sim ya rafiki mkubwa wa Putin na kile alikutana nacho ilimfanya Mwamba kusema kama bwai naiwe mbwai shida inakuja hawezi kutangazia umma nn jamaa wamemfanyia and why anataka kuipindua Dunia kwa kazi iliyofanywa kwa ustadi na idarazisizojulika.

Niukweli usio pingika wala kufichika Mataifa ya Dunia ya kwanza wanajuwa Rais Putin atazima muda na wakati Dunia haitoamini. Ila sasa muda wa eng kuzima na mipango ya huyu bwana imeibuka na plan B.

Plan B ni mataifa yenye nguvu kuunda most lethal unity ya watu 500 to 1000.
Hiki kikosi kitasheheni viumbe hatari kuwahi kuumbwa na Mungu. Hiki kikosi hatari kitafanya kazi independence under one command unity with full mandates to eliminate those on the list. Hii unity kazi yake ni kufa na kupona but very silence.
Labda kama Putin anatokea CCM
 
Sasa kweli USA ndio kilanja wa dunia unategemea akae kimya tu?Tatizo lolote duniani linapotokea utasikia yeye ndie wa kwqnza kutoa msaada hao wengine wanakuwa wapi?mashirika yote ya UN yeye ndie mchangiaji mkubwa wa michango,na ndio maana kuwa DG waashirika hayo bila USA,kuunga mkono hupiti!!!ule ushenzi wa ISS,ALKAIDA bila US, ingekuwaje?hao uliowataja hawana msaada mkubwa kwa AFRICA,.US ana mapungufu yake lakini hii dunia ipo ktk usalama huu kutokana na jitihada zake.
USALAMA wa DUNIA unaitegemea RUSSIA Ft

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ina enda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao uwenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakacho tokea.
Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi azipo dhibitiwa kitakacho fuwata kitakuwa nikibaya sana.

Kwa kukuona hili mataifa yenye nguvu duniani ya kiuchumi na silaha wameona ni Bora watu kadhaa wafe kwa ajili ya usalama wa Dunia kuliko acha mambo yaende kama yanavyo enda sasa.

Mataifa matatu ikiwemo Russia, China na Iran ndio kitisho cha amani ya Dunia na wasipo dhibitiwa sasa wanaweza kuleta vita ya tatu ya Dunia vita itakayo acha mataifa tajiri miji yao walio itengeneza kwa miaka mia kadhaa kuwa ktk mavumbi.

Ili kuiokoa Dunia na kitisho hicho CIA akishirikiana na mataifa rafiki wamekuwa wakifanya kazi ngumu yakuweza fanikisha mission yakuwa eliminate three head ktk hali ambayo hakuna anaweza kufikiri au kuiwaza.
Sim ya mwisho ya Rais mmoja wa bara ya Amerika kwa rafiki yake wakaribu sana Putin ndio chanzo cha siri cha vita ya kisasi inaendelea.

Kiongozi huyu alisifika sana bara Amerika akiwakosesha usingizi USA na Vyombo vyake vya ulinzi na ndipo majasusi hatari kutoka ktk kikosi sichojulikana walifanikisha kumdondosha Mwamba ila mwaba before die alimtonya rafiki wake Pete na kidole "Rafiki yangu Putin mm muda wowote ni taaga Dunia ila nataka kukuthibitishia kifo changu alie kutengeneza ni Marekani" number one down.

Putin hakuamini alicho ambiwa mpaka alipokuja shituka kwenye COVID 19.
Akiwa amesha shituka time it was not on his side. Jamaa walisha maliza kazi.
Sim ya rafiki mkubwa wa Putin na kile alikutana nacho ilimfanya Mwamba kusema kama bwai naiwe mbwai shida inakuja hawezi kutangazia umma nn jamaa wamemfanyia and why anataka kuipindua Dunia kwa kazi iliyofanywa kwa ustadi na idarazisizojulika.

Niukweli usio pingika wala kufichika Mataifa ya Dunia ya kwanza wanajuwa Rais Putin atazima muda na wakati Dunia haitoamini. Ila sasa muda wa eng kuzima na mipango ya huyu bwana imeibuka na plan B.

Plan B ni mataifa yenye nguvu kuunda most lethal unity ya watu 500 to 1000.
Hiki kikosi kitasheheni viumbe hatari kuwahi kuumbwa na Mungu. Hiki kikosi hatari kitafanya kazi independence under one command unity with full mandates to eliminate those on the list. Hii unity kazi yake ni kufa na kupona but very silence.
Ogopa sana mtu kuichezea akili yako, wewe umeaminishwa kuwa CIA, MI6,MOSSAD n.k kuwa ni bora sana kwenye ujasusi!!!!!!!!!!!!!!!!Jitoe kwenye huo upofu na jaribu kupunguza mahaba !!!!!!!!!!!Haya mashirika kuna misheni mbalimbali ambazo wamefanya na kushindwa vibaya sana!!!!!!!!!!!!!!!!

Halafu jaribu kupunguza ujuaji wa kishamba, huna unachokijua kuhusu ujasusi wa mataifa makubwa, unachokifahamu wewe wametaka wewe ukifahamu!!!!!!!!!!

Nb 1: Kanuni za kijasusi karibu dunia nzima zinafanana.

NB 2: Dunia inaendeshwa kwa siri kubwa mno!!!! Mimi na wewe hatuzifahamu na hatutakuja kuzifahamu!!!!!!!!!
Ni mtazamo!!!!!!!!!
 
Dunia ina enda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao uwenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakacho tokea.
Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi azipo dhibitiwa kitakacho fuwata kitakuwa nikibaya sana.

Kwa kukuona hili mataifa yenye nguvu duniani ya kiuchumi na silaha wameona ni Bora watu kadhaa wafe kwa ajili ya usalama wa Dunia kuliko acha mambo yaende kama yanavyo enda sasa.

Mataifa matatu ikiwemo Russia, China na Iran ndio kitisho cha amani ya Dunia na wasipo dhibitiwa sasa wanaweza kuleta vita ya tatu ya Dunia vita itakayo acha mataifa tajiri miji yao walio itengeneza kwa miaka mia kadhaa kuwa ktk mavumbi.

Ili kuiokoa Dunia na kitisho hicho CIA akishirikiana na mataifa rafiki wamekuwa wakifanya kazi ngumu yakuweza fanikisha mission yakuwa eliminate three head ktk hali ambayo hakuna anaweza kufikiri au kuiwaza.
Sim ya mwisho ya Rais mmoja wa bara ya Amerika kwa rafiki yake wakaribu sana Putin ndio chanzo cha siri cha vita ya kisasi inaendelea.

Kiongozi huyu alisifika sana bara Amerika akiwakosesha usingizi USA na Vyombo vyake vya ulinzi na ndipo majasusi hatari kutoka ktk kikosi sichojulikana walifanikisha kumdondosha Mwamba ila mwaba before die alimtonya rafiki wake Pete na kidole "Rafiki yangu Putin mm muda wowote ni taaga Dunia ila nataka kukuthibitishia kifo changu alie kutengeneza ni Marekani" number one down.

Putin hakuamini alicho ambiwa mpaka alipokuja shituka kwenye COVID 19.
Akiwa amesha shituka time it was not on his side. Jamaa walisha maliza kazi.
Sim ya rafiki mkubwa wa Putin na kile alikutana nacho ilimfanya Mwamba kusema kama bwai naiwe mbwai shida inakuja hawezi kutangazia umma nn jamaa wamemfanyia and why anataka kuipindua Dunia kwa kazi iliyofanywa kwa ustadi na idarazisizojulika.

Niukweli usio pingika wala kufichika Mataifa ya Dunia ya kwanza wanajuwa Rais Putin atazima muda na wakati Dunia haitoamini. Ila sasa muda wa eng kuzima na mipango ya huyu bwana imeibuka na plan B.

Plan B ni mataifa yenye nguvu kuunda most lethal unity ya watu 500 to 1000.
Hiki kikosi kitasheheni viumbe hatari kuwahi kuumbwa na Mungu. Hiki kikosi hatari kitafanya kazi independence under one command unity with full mandates to eliminate those on the list. Hii unity kazi yake ni kufa na kupona but very silence.
"CIA akishirikiana na mataifa rafiki wamekuwa wakifanya kazi ngumu ya kuweza fanikisha mission ya kuwaeliminate three head ktk hali ambayo hakuna anayeweza kufikiri au kuwaza"

Ambayo ww umeshaiwaza tayari!!??
wabongo acheni mbwembwe hizi bana katafute ugali wa watoto wako.
 
Hivi vita vilitabiriwa na hakutakuwa na vita ya 3 ila marekani na nchi zote zinazopigana zitadororoa kiuchumi, nchi itakayofaidiaka na mzozo huj ni china na japan. Ilitabiriwa zaidi ya miaka 40 iliyopita
 
Punguza muda wako kwenye hizo Holwood movies. Tishio la dunia ni NATO na westerners na siyo hizo nchi tatu ulizotaja.
NATO na Marekani na westerners wanahisi wao ndiyo wenye haki ya kuset standard ya maisha kwenye huu ulimwengu, wanaweza kujiamulia kukuita wewe ni gaidi au siyo gaidi. Mfano Walisema Isis ni magaidi but Leo hii ISIS wanapigana vita Ukrain upande wa Zelensk but wamekata kimya hawasemi chochote. Urusi ni nchi ambayo inataka kuondoa huo ujinga wa white supremacy kwemye huu ulimwengu, wa kuwafanya nchi fulani ni Bora kuliko nyingine, ndiyo maana anaonekana ni adui wa usalama wa dunia.
Watu wajinga ni wengi sana kwenye bara hili hasa nchi hii, NATO wanaoburuzwa na marekani ndio tatizo kwenye dunia ya leo
 
Kusema China ,Iran na Russia ni Tishio sio kweli bali hao westi ndio Tishio

Mtu Toyote anawez Tabir kifo cha kiumbe alieHai na nazn hili kama ni rahis marekab angeweza kutumia njia hii kwa mataifa mbali mbali ambayo alipgana nayo vta na kuua wanajesh wake ,

Na swala hili linawezekan tuu wakat ambao hamna vta ila kwa wakat huu wa vita ni ngumu kwakuw kila kitu kinatumika kumuwek president secured
 
Yani unakaa hapo unakunywa togwa unatarajia Rais wa nchi kama Russia au China auwawe na kakikosi ka watu 500?
Kwanza unajua madhara ya kumuua mkuu wa nchi ambayo hujui ajaye atakuwa na madhara kiasi gani. We mwenyewe ulichoandika hapa hujui ni kitu gani

Huyu jamaa hajitambui, anasema russia iran and china ni kitisho cha dunia, yaani anajipa upofu haoni USA Nato ndio wana hatarisha amani ya dunia.

Yaani yupo kihisia hisia, amearibiwa na movie za hollywood huyu sio bure
 
Back
Top Bottom