Kikosi kazi:matokeo ya wizara ya afya

Advicer

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
560
Reaction score
281
Ndugu zangu nipo na wadau hapa wahanga weenzetu wa wizara hii katika matokeo haya tunayoyangojea ya clinical officers na mengine yaliyo chini ya wizara hii kwa hamu sana kutokana na kukaa muda mrefu bila taarifa zozote zenye uhakika.hivyo tumeoa sasa tuwashirikishe wazo hili kwa umakini zaidi.tugawane majukumu kwa nyie mliopo dar mtusaidie wanaoweza kwenda pale wizarani na kuuliza kipi kinajiri afanye hivyo pia nikuombe bro.emmanuel magige ujaribu kuwasiliana na rombo girl atuambie kinachojiri huko naamini unaemail address yake,bro ngassa pia pita hapo wizarani.at least naomba ifikapo saa 7:01 tuwe tumepeana taarifa juu ya nini kimetokea na nini tunangoja na lini yanatoka.



Nb;kama mada haikuhusu na huijui naomba uwaache wahusika

nawasilisha
 
ilo nalo neno yani ningejua nisingeondoka dar sa hvi full presha huo mgawanyo umekaa fresh ila rombo girl katuchinjia bahari ila sio case acha tusubiri
 
Kunandugu yangu ametokea hapo muda huu.
Anasema amekuta issue hawajabandika na alipojaribu kuwaona wausika,wamemwambia wanaweza wakatoa Jumatatu.
Yeye mwenyewf akachoka na ratiba zao zisizoeleweka,akaamua kuondoka lakini anadai kuna wanafunzi wengi wamekwenda kuulizia kuhusu.
Nahisi kama wamejisahau kuwa watu walitoa pesa zao kufanya application,la sivyo kwa nini wasitoe taarifa kuwa nini kinachoendelea na lini watatoa hayo majibu.......!
 
Wadogo zangu tatizo kubwa ni waziri ameshakabiziwa sasa nijukumu lake kutangaza hili watu watoe Ila ndio hivyo viongozi wetu.mm natamani hata sasa yatoke Ila ndio hivyo mpaka waziri aseme.kiukweli hakuna wazir mzembe kama mwinyi.
 
Wadogo zangu tatizo kubwa ni waziri ameshakabiziwa sasa nijukumu lake kutangaza hili watu watoe Ila ndio hivyo viongozi wetu.mm natamani hata sasa yatoke Ila ndio hivyo mpaka waziri aseme.kiukweli hakuna wazir mzembe kama mwinyi.

dada nashukuru kwa updates zako hpo kidogo nagata moyo
 
Mm nawashauri kesho njoon kazini mpige kelele mkitaka kumuona waziri labda atashituka akili yake.yani mkija wala msitoke bila majibu yenu.mkizembea mwezi huu unaisha bila majibu yoyote.wakazi wa dar njooni kesho kwa wakazi wa mbali namba ya ofisi ya waziri ni+255222120261/mwisho weka265,266,267.tujalibu kumsumbua anaweza akatoa kesho mkazi wa dar usikose kuja.
 

au kisa wa kwake wanasoma nje ya nchi ila haina shida kesho kutwa nafungua ofisi na nyie
 
da! Hlo ndo la maana kiukwel mlioko Dar naomba kesho muende bl hvyo itakula kwe2 inabd kesho pachimbike.
 
Kuna mtu wangu wakaribu(ndugu yangu) anafanya kazi apo wizara ya afya ameniambia dodoma ndio wanachelewesha ila dsm wamesha maliza since tareh 3
so lets wait with hope
 
jaman, mlioko Dar mkutane wizaran mkizembea imekula kwenu c mnajua tena viongoz wt walikwsha zoea kusukumwa.
 
Kiukwl m nmechoka,waziri naomb pesa yng kam hujui, kwe2 mwsho wa rel,faster npe ma money,aaaaaa!!!!!.
 
Nchi hii imejisahau, kila mtu anahangaikia tumbo lake kwanza matokeo yake watoto wa wakulima tunateseka bila sababu, sasa mtu ukitegemea wizara ya afya thn bahati mbaya ukose, utaenda wapi tena upokelewe, hii si kuk0m0ana...!
 
Wizara ya mtoto wa 2nd presida ndo hyo,uwezo hana lkn anabebwa na koti ya 2nd presida! Kama vp tafuten mahali mkutane na vyombo vya habar mfunguke may be itawaamusha kutoka waliko lala,poleni wapendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…