Advicer
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 560
- 281
Ndugu zangu nipo na wadau hapa wahanga weenzetu wa wizara hii katika matokeo haya tunayoyangojea ya clinical officers na mengine yaliyo chini ya wizara hii kwa hamu sana kutokana na kukaa muda mrefu bila taarifa zozote zenye uhakika.hivyo tumeoa sasa tuwashirikishe wazo hili kwa umakini zaidi.tugawane majukumu kwa nyie mliopo dar mtusaidie wanaoweza kwenda pale wizarani na kuuliza kipi kinajiri afanye hivyo pia nikuombe bro.emmanuel magige ujaribu kuwasiliana na rombo girl atuambie kinachojiri huko naamini unaemail address yake,bro ngassa pia pita hapo wizarani.at least naomba ifikapo saa 7:01 tuwe tumepeana taarifa juu ya nini kimetokea na nini tunangoja na lini yanatoka.
Nb;kama mada haikuhusu na huijui naomba uwaache wahusika
nawasilisha
Nb;kama mada haikuhusu na huijui naomba uwaache wahusika
nawasilisha