Kikosi Kazi: Tanzania ianze mchakato wa kupata Katiba Mpya baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

Kikosi Kazi: Tanzania ianze mchakato wa kupata Katiba Mpya baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

Hapa kuna ukweli wowote au ndio wachumia tumbo wanataka kuendelea kutunyonya? "Pia kuna suala la katiba mpya kwamba ni muhimu lakini halina haraka kwakuwa katiba ya sasa inafanya kazi vizuri."
 
Kwann pendekezo la katiba ya mpito hawajatolea pendekezo Kama ilivokua kwa Mandela na katiba ya makaburu ..
 
::VIONGOZI WA NAFASI ZA JUU NA WABUNGE WAPATIWE MSHAHARA YA KAWAIDA NA MARUPURUPU YA KAWAIDA, ISPOKUWA WAWEZESHWE FACILITIES ZA KIUTENDAJI mf, magari, N. K. ENDAPO KAMA NI KWELI UTUMISHI KWA UMMA UPO NDANI YAO.
Yani mshahara wao uwe milioni 2 tu,na pension isizidi milioni 50 kwani wanafanya kazi kwa muda wa miaka 5 hao wabunge
 
Mungu hajanitendea haki kunifanya Mwafrika.

Imagine Prof. na akili zake anaanzisha kamati ya kinyesi cha ng'ombe.

Ng'ombe anakunya kg 25 na kukojoa Lita 20 kwa siku. Ng'ombe huyo tumboni kuko wazi yaani ni hewa tupu?
Hovyo kabisa yani
 
Suruhisho kwa Tanzania hii ni katiba mpya na siyo vinginevyo, na hata vivyo katiba ya 1977 niya mkiloni kwa matiki hiyo Wana Nchi hawaku shilikiswha upatikaji, wa katiba hii
 
Back
Top Bottom