pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mambo ya mchakato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanabana lakini yataachia.Katiba mpya ni lazima,huwezi kuzuia hitaji la wenye nchi yao🐒🐒🐒
View attachment 2159374
View attachment 2159375
Wakubwa wanatafuna nchi kwanzaTatizo kubwa ni nani mwenye kumfunga paka kengele
Kwa sababu itamletea shida mama kwenye "kuhesabu kura zake" 2025Kwanini katiba mpya iwe baada ya 2025?
Huyu mama kapatwa na nini!!?mbona kawa na tabia FULANI hivi za kibabe!!!??anaogopa katiba Ili iweje!!?Yanabana lakini yataachia.Katiba mpya ni lazima,huwezi kuzuia hitaji la wenye nchi yao🐒🐒🐒
View attachment 2159374
View attachment 2159375
Ndio maana hata kwa Mbowe alitengeza chezo. Chadema walivyokataa kuomba msamaha ikabidi awape maelekezo viongozi wa diniMmhh Rais Samia anaogopa sana kufanya maamuzi yeye kama yeye! Mara nyingi anasukumia Kamati, anajificha kwenye mgongo wa kamati
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mshahara wao uwe milioni 2 tu,na pension isizidi milioni 50 kwani wanafanya kazi kwa muda wa miaka 5 hao wabunge::VIONGOZI WA NAFASI ZA JUU NA WABUNGE WAPATIWE MSHAHARA YA KAWAIDA NA MARUPURUPU YA KAWAIDA, ISPOKUWA WAWEZESHWE FACILITIES ZA KIUTENDAJI mf, magari, N. K. ENDAPO KAMA NI KWELI UTUMISHI KWA UMMA UPO NDANI YAO.
Hovyo kabisa yaniMungu hajanitendea haki kunifanya Mwafrika.
Imagine Prof. na akili zake anaanzisha kamati ya kinyesi cha ng'ombe.
Ng'ombe anakunya kg 25 na kukojoa Lita 20 kwa siku. Ng'ombe huyo tumboni kuko wazi yaani ni hewa tupu?
Hakuna Rais ambae ataingia then aanze kuleta Katiba Mpya! Wengi wanataka kuwaachia mabomu wenzaoKwanini katiba mpya iwe baada ya 2025?
Unaweza ntagi kwenye huo uzi wa Tumia akili?Hapa nimeelewa kwanini FDR lazima aingie Mwakani tena kabla ya MWEZI March!!KWA MUJIBU wa thread ya Tumia akili!!