Kikosi kikipangwa namna hii Vipers hatoboi!

Banda yupo very direct na anakaba kuliko Sakho.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa! Ukiwa na Sakho, Chama, Ntiba na Boko hakuna hata mmoja anasaidia kukaba. Ndio maana Kibu anapewa nafasi ingawa mashabiki hawaelewi! Kibu analeta balance

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huu ndo ukweli.

Kibu ana workrate kubwa mno kuliko wechezaji wote wa mbele hivyo kwa game za ugenini huyu kifaru anaisaidia timu pakubwa kubalance.

Mitano tena kwa Kibu!
 
Banda Hana workrate.
Banda ana speed ya kukimbilia mpira driball mzuri.

Mchezaji Mwenye workrate kubwa ni MZAMIRU anakimbia sehemu kubwa ya uwanja kuliko mchezaji yoyote Tanzania.
Anakimbia Almost km 16- 17 ndani ya Dakika 90.

Tutakuwa tunapeana shule taratibu taratibu
 
Dah! Tambeni Uto [emoji2]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
😅😅😅 Nacheka kama mazuri. Ila mtani, Baleke nimemuona mechi chache sana, ila ninaona anavitu vingi kuzidi Boko. Mkitumia double strikers ya Baleke na Phiri, nyuma yao akawepo Chama, goli zinapatikana.

Kibu anasaidia kukaba, sawa, lakini hiyo sio jukumu lake kuu, ndio maana lawama hazimuishi. Kila mchezaji, akiiea uwanjani inabidi kwanza atimize jukumu lake kuu, Kisha aongeze na majukumu ya ziada. Kapombe anavyojua kushambulia, angekuwa mbovu kukaba mngemkataa.

So, full backs zinavyopandisha mashambulizi, hapo ndio wings na mido zinatakiwa kuziba gape, na sio kwamba uwekwe uwanjani kushambulia, alaf ww muda wote unasaidia kukaba.

Simba, guvu moya (In Mo's voice)
 
Kanoute lazima apate njano, Phiri ni pata potea.

Kila laheri Mnyama.
 
Mimi nelezwe tu Kwa nini hao wa akiba wameitwa Supersub.
 
Tunazipimaje hizi kms
 
Chama 34+
Inonga 35+
Ntibazokiza 36+
Tshabalala 33+
Kapombe 33+
Phiri 35+
Onyango 40+
Chama, phiri na ntibazokiza wanategemea timu ifanye vzr ndio wacheze mpira... Kwa timu Kama vipers wao mwanzo mwisho nguvu na purukushani. Sioni nafasi ya chama kuisaidia timu kwa Aina ya uchezaji wa vipers wako more aggressive.
 
Huu upande wa zimbwe inatakiwa awe makini sana maana kuna jamaa anaitwa Milton Karisa ana speed, skills na ni hatari.
 
Ofcoz kuna muda anacheza faulo za kijinga ambapo kuna siku zinaweza kuigarimu timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…