MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
- Thread starter
- #21
Banda yupo very direct na anakaba kuliko Sakho.Hachezi mpira wa malengo, sehemu ya kutulia atoe pass yeye anawaza chenga tu, wakati mwingine anajifanya Sadio Mane kitu kinachopelekea kupoteza mpira au kutoa pass fyongo.
Mpira ni magoli siyo anakwenda anakwenda ...
Huyu jamaa hajui kukaba akipoteza mpira, akisema akabe anaenda kucheza faulo na kuigharimu timu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app