Kikosi kikipangwa namna hii Vipers hatoboi!

sasa kwani usiombe ukocha simba kama unajifanya unajua hivyo
 
Majukumu tu, banda alipangwa kiungo game ya kirafiki na Al Hilal kule Sudan akamshangaza hata Zoran

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Jana nilibahatika kuona marudio ya Azam vs Simba pale Chamazi, Ligi Kuu msimu wa 2017/18..
Simba chini ya Omog namwona Kotei kama namba 6 halafu nawaangalia Sawadogo na Kanoute... Tuache utani Simba inahitaji Defensive Midfielder
Hapo tumefeli kabisa, Kanoute tunalazimisha tu ndio maana kila game analamba mikadi tunabaki kushikilia moyo [emoji36]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Manula hawezi kukubali kutoka uwanjani bila kufungwa
 
Manula hawezi kukubali kutoka uwanjani bila kufungwa
Natamani Ben aanze lakini haongei na mabeki kama Manula. Manula ana guts za kufokea walinzi wake na pia naamini kocha wa makipa amemrekebisha makosa yake mengi hizi game tatu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni muhimu iwe hivyo sidhani kama kuna haja ya kuwa na makocha ktk timu.

Hiyo kazi tuwaachie makocha
 
Natamani Ben aanze lakini haongei na mabeki kama Manula. Manula ana guts za kufokea walinzi wake na pia naamini kocha wa makipa amemrekebisha makosa yake mengi hizi game tatu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Manula no kipa wa hivyo sana anabebwa zaidi na ushirikina ila kiuchezaji neno ni bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…