Kikosi kikipangwa namna hii Vipers hatoboi!

Kikosi kikipangwa namna hii Vipers hatoboi!

Hata kama tukienda Robo Fainali, with that kind of offensive players hatuwezi vuka because a knoukout stage is a matter of scoring goals kitu ambacho tumefeli kukifanya against strong teams ambao obviously tutakutana na mmojawapo kama tukiwa Runner Up wa kundi letu...
 
Back
Top Bottom