Kikosi maalum cha makomando wa KDF chawasili DRC


Ati!! Wanaenda kuchota maji ya nini!!!???
Wakirudi na magudulia si moto utakuwa umekula kila kitu?

Wazee wa magudulia sasa katika ubora wao.
🀣🀣🀣
 
Ati!! Wanaenda kuchota maji ya nini!!!???
Wakirudi na magudulia si moto utakuwa umekula kila kitu?

Wazee wa magudulia sasa katika ubora wao.
🀣🀣🀣View attachment 1888182

Hehehe dayaspora wa Buza endelea kudindishia kwa nyege madogo ila hawa ndio supapawa.....
Bado haujanipa majibu ya chanjo, wewe ni masalia ya ukaidi wanaomfuata Gwajima au umetia akili?
 
Hongereni kwa kuwasaidia ndugu zetu wa DRC.
 
..Nawapongeza Kenya kwa kuamua kupeleka askari wa kulinda na kutetea amani nchini DRC.

..Inasikitisha sana kwamba wananchi wa DRC tangu wapate uhuru wamekuwa watu wa kutangatanga na kutaabika kwa kukosa amani.

..Juhudi na mchango wowote kwa ajili ya amani ya DRC ni jambo ambalo Watanzania tunapaswa kuunga mkono. DRC ni ndugu na majirani zetu.

..Pia KDF wanakwenda kuungana na vikosi vya Tanzania, Malawi, na South Africa. Wote watakuwa wakipambana chini ya mwamvuli wa FIB.

..Kwa hiyo, mafanikio ya kikosi cha nchi mojawapo, ni mafanikio kwa vikosi vyote, na mafanikio kwa DRC.
 
Kwani hii ni laana ama ni nn?...kila wakati JWTZ wako na mizigo mgongoni [emoji23][emoji23][emoji706]
 
..endeleeni kutukanana hapa JF.

..msichokijua ni kwamba ktk uwanja wa mapambano ndani ya DRC askari wa tanzania, kenya, malawi, na south africa, watakuwa kitu kimoja.
 
Hehehe dayaspora wa Buza endelea kudindishia kwa nyege madogo ila hawa ndio supapawa.....
Bado haujanipa majibu ya chanjo, wewe ni masalia ya ukaidi wanaomfuata Gwajima au umetia akili?

Sipangiwi cha kuandika wala kujibu humu, hususan kwa walala njaa kama nyie.
Wewe unaevaa miwani 24/7 ndiyo kachanje. maana your optical life has gone.
 
Sipangiwi cha kuandika wala kujibu humu, hususan kwa walala njaa kama nyie.
Wewe unaevaa miwani 24/7 ndiyo kachanje. maana your optical life has gone.

Vipi leo umevimbiwa maziwa ya mwanamke, hivi yatawafanya kuwa mazezeta, ndio maana hoja zenu hutia kinyaa.
 
Wazee wa magudulia na maboflo


Hii picha nimeona mkiitumia na nilifikiri mwishowe mtaona lakini ni kama mna kengeza, leo imebidi nionyeshe mkwa mshale mwekundu hapo nyuma, Hauoni gari za wazima moto ziko kazini na ziko na maji hapo nyuma? Licha ya hivyo bado wanajeshi (Kuna kambi ya kijeshi hapo kando ya airport) walieka mabunduki kando na kujaribu kusaidia kuzima moto kwa kutumia nguvu zao... Hawakukubali kusimama tu huko kando kando na kuangalia wazima moto na malori yao wakijaribu kudhibiti moto.... Hilo ni dhihirisho kwamba jamaa si wavivu na wako tayari kujituma wanapohitajika!
πŸ‘‡ Tazama wazima moshi hapo nyuma
πŸ‘‡
 
🀣🀣🀣
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
View attachment 1889319
apo upite halafu huseme "mtue mwanamke ndoo kichwani"!!

Yaaani hawa jamaa huaga majumbani wake zao wanaenda kazini halafu wanaenda kubebea maji wanaume wengine? πŸ™†β€β™‚οΈ πŸ™†β€β™‚οΈ πŸ™†β€β™‚οΈ πŸ™†β€β™‚οΈ 🀭 🀭 πŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈ
 

Wazee wa magudulia na madumu.
 
Afadhali hao ambao wametupilia mbali heshima zao kwa nia ya kuokoa mali na maisha. Sasa hawa wenzenu ambao walibangua korosho kama kina Amina na Maimuna walikuwa wanatafuta nini, kiki au vyeo? πŸ˜€
 
Isijekuwa ndio mmepeleka huko wezi wengine wa mikate kama wale wa West gate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…