Kikosi maalum cha makomando wa KDF chawasili DRC

Kikosi maalum cha makomando wa KDF chawasili DRC

Angalia kwenye background utaona malorry mawili ya kuzima moto. Usijifanye kipofu.

Sasa kama kuna malori, magudulia ya nini? Yaani unaamini moto utazimwa na maji ya magudulia kutoka huko sijui wapi!!!?
 
Diaspora wa Buza hata haya ya majeshi huwa unahangaika kuchangia....hehehe!!!
Mshukuru sana Kenya na Rwanda uaknda wote huu maana wenu mumewaweka wawe wa kupasua matofali tu siku za maonyesho.
Mbona wenu wanaiba mikate tu? Al shabaab watatu tu waliikalisha kenya siku tatu au unazani habari hatuna? Mzee wa jaramandia Ahmed aliwavua nguo
 
Hivi umechanjwa au bado unaendeleza ujuha uliokua nawo kipindi cha awamu ya tano kabla taifa kujitumbukiza kwenye msiba wa kitaifa wa kujitakia....hhehehehe
Ujinga wenu huu yaani tu...
2877380_IMG_20210811_081245_498.jpg
Usitutoe kwenye reli hao waiba biskut wanaenda fanya nini kongo? Au ndio wanaenda iba madini?
 
Hao wanamgambo wa KDF
Komandos wana alama zao,beret huwa za maroon hata kama wanatumika UN,wanavaa beji ya UN chini ya bega
 
Hehehe!!! Mbona hii picha inakupea minyege kihivyo, kwani vijana wa kijeshi kubeba ndoo za maji wakienda kusaidia kuzima moto, kuna nini hapo cha kufanya udindishe dushe lako.....hehehe

Hao hawatajua kama umechanjwa maana mumepoteana....kila mtu na kauli yake

2862616_IMG-20210729-WA0021.jpg
Kuzima moto kirembo ivyo in short kenya haina jeshi
 
Hii picha nimeona mkiitumia na nilifikiri mwishowe mtaona lakini ni kama mna kengeza, leo imebidi nionyeshe mkwa mshale mwekundu hapo nyuma, Hauoni gari za wazima moto ziko kazini na ziko na maji hapo nyuma? Licha ya hivyo bado wanajeshi (Kuna kambi ya kijeshi hapo kando ya airport) walieka mabunduki kando na kujaribu kusaidia kuzima moto kwa kutumia nguvu zao... Hawakukubali kusimama tu huko kando kando na kuangalia wazima moto na malori yao wakijaribu kudhibiti moto.... Hilo ni dhihirisho kwamba jamaa si wavivu na wako tayari kujituma wanapohitajika!
[emoji116] Tazama wazima moshi hapo nyuma
View attachment 1891062[emoji116]
Sasa maji wanafuata kama warembo
 
Sasa maji wanafuata kama warembo
Waliofanyiwa training yoyote wanajua penye mkasa wa moto hakuna kukimbia, walk fast but never run! sasa kama wewe umevumbua technolojia ya kujua speed waliokua wakitembea nayo kutokana na picha, tuelezee, mataifa mengi yanaweza kununua hio technolojia kwa hela ndefu!
 
Back
Top Bottom