Angalia kwenye background utaona malorry mawili ya kuzima moto. Usijifanye kipofu.
Mlienda huko mkashindwa. Ondokeni tuwaonyeshe sasa.Huko Somalia mwaka wa 12 huu kumewashinda! Endeleeni na ukimbelembele wenu!
Magudulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazee wa magudulia na maboflo
[emoji1427][emoji1427][emoji116]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1887665
Waensa kuiba magitaa ya wakongoSasa hawa waiba midoli kwenye mall waensa Fanya nini?
Magudulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona wenu wanaiba mikate tu? Al shabaab watatu tu waliikalisha kenya siku tatu au unazani habari hatuna? Mzee wa jaramandia Ahmed aliwavua nguoDiaspora wa Buza hata haya ya majeshi huwa unahangaika kuchangia....hehehe!!!
Mshukuru sana Kenya na Rwanda uaknda wote huu maana wenu mumewaweka wawe wa kupasua matofali tu siku za maonyesho.
Ndio hao hao huoni yule wa mbele mishavu ilivyomjaa kwa kubugia biskut na maziwahawa si ndio walikuwa wanaiba biscuit pale westgate
Usitutoe kwenye reli hao waiba biskut wanaenda fanya nini kongo? Au ndio wanaenda iba madini?Hivi umechanjwa au bado unaendeleza ujuha uliokua nawo kipindi cha awamu ya tano kabla taifa kujitumbukiza kwenye msiba wa kitaifa wa kujitakia....hhehehehe
Ujinga wenu huu yaani tu...
Kuna wezi wa maboflo tuHakuna komando hapo
Vipi kuiba biskut ni upuuzi wa watoto wa langapi?Huu upuzi ni wa watoto wa high school[emoji90][emoji81][emoji81][emoji706]View attachment 1888252
Wakwetu hawaibi biskut #WajingaNyiNyiTofauti kati ya KDF na JWTZView attachment 1888257View attachment 1888260
Kuzima moto kirembo ivyo in short kenya haina jeshiHehehe!!! Mbona hii picha inakupea minyege kihivyo, kwani vijana wa kijeshi kubeba ndoo za maji wakienda kusaidia kuzima moto, kuna nini hapo cha kufanya udindishe dushe lako.....hehehe
Hao hawatajua kama umechanjwa maana mumepoteana....kila mtu na kauli yake
Sasa maji wanafuata kama waremboHii picha nimeona mkiitumia na nilifikiri mwishowe mtaona lakini ni kama mna kengeza, leo imebidi nionyeshe mkwa mshale mwekundu hapo nyuma, Hauoni gari za wazima moto ziko kazini na ziko na maji hapo nyuma? Licha ya hivyo bado wanajeshi (Kuna kambi ya kijeshi hapo kando ya airport) walieka mabunduki kando na kujaribu kusaidia kuzima moto kwa kutumia nguvu zao... Hawakukubali kusimama tu huko kando kando na kuangalia wazima moto na malori yao wakijaribu kudhibiti moto.... Hilo ni dhihirisho kwamba jamaa si wavivu na wako tayari kujituma wanapohitajika!
[emoji116] Tazama wazima moshi hapo nyuma
View attachment 1891062[emoji116]
Waliofanyiwa training yoyote wanajua penye mkasa wa moto hakuna kukimbia, walk fast but never run! sasa kama wewe umevumbua technolojia ya kujua speed waliokua wakitembea nayo kutokana na picha, tuelezee, mataifa mengi yanaweza kununua hio technolojia kwa hela ndefu!Sasa maji wanafuata kama warembo